Nakushauri sana 100% kama kweli wewe ni Mkristo na kama unampenda mke wako. Nenda haraka sana ukaombe na mtumishi huyo wa Mungu. Nakuhakikishia 100% mtarudiana na huyo mama. Nauli na kila kitu kwa TB Joshua ni $1700 tu. Acha kusikiliza ushauri wa kishetani wa kwenda bar....utarudi kuumizwa...
Wewe nani alikuruhusu kuwahukumu Ma askofu wewe yakupasa kukaa kimya na kupiga magoti kumwomba Mungu tu you ya haya yote. Ni Mungu peke yake atayamaliza mambo haya sio wewe mtu mdogo kuyaingilia. Piga magoti mwombe Mungu atuvushe na hayo yote.
Wewe shika lako. Umeokoka au laa maisha ya wadada hai yanakuhusu nini? Nani alikupa chetu cha kuhukumu watu? Wee ngoja2hukumu yako. Yesu anarudi kuhuihukumu DUNIA YOTE WATU WOTE..WAFALME N.A. WEWE POA. JIHOJI SASA
Dada mpendwa. Nimrkusikiliza vizuri nimepata shauku vile Bwana Yesu alivyokupenda akakuokoa....wewe na mwanzo Patrick. Mungu asifiwe sana. [emoji108]Kwanza kabisa mahukuru sana Mungu kukuokoa. Ikiwa unafahamu VEMA maana ya KUOKOKA... Hapo ndipo sehemu Yako yakuanzia!!! Baada ya mtu KUOKOKA tu...
Ninapangisha nyumba (Farm House). Vyumba vitatu viwili ni self. Living room na jiko. Geti la kujitegemea. Luku na Mita ya maji ya kujitegemea maji na umeme ni wakati wote. Location:- Mwanza;- Lumala East. Kiseke Rd ni karibu sana na Saba Saba. (Dalali Hahitajiki) Tel 0622 302006
Kweli nyumba safi. Mkuu nipatie eneo la nyumba au kiwanja chako kina square miters ngapi? Je una hati miliki ya miaka 99 au 66? Otherwise nyumba nzuri...advice shusha kidogoo mkuu
Aksante. Mimi nataka mbwa seriously! Ila nipe majibu haya;-1. Umri wa mbwa, Jinsia yake, Kabila je ni German F asili au cross bread? Umewachoma chanjo na je una kadi ya chanjo? Mwisho uko mkoa gani? Mimi niko Mza. Aksante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.