Recent content by TIKEI

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua ada za Baobab na Makongo naomba anisaidie

    Msaada wa anaejua bei ya Tuition fee + hostel kwa Makongo na Boabab Secondary Schools kwa alevel
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta muombeaji mwenye karama Mafinga Iringa

    Habari za Jioni Naomba kama kuna mtu anajua muombeaji/waombeaji wenye karama ya kutoa mapepo maeneo ya Mafinga. Ndugu yangu anpetwa kichaa mwaka wa kumi sasa na hospital imeshindikana. Mimi nipo Mufindi Iringa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa chaki(my project)

    Nahitaji hivyo vya laki moja nitapa wapi?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Matron wa Alfagems Sec School Morogoro

    Asante sana mkuu, nimepata nashukuru. Na pia hata pale shule wameshampokea tayari.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Matron wa Alfagems Sec School Morogoro

    Nimekosa mawasiliano yote yamezimwa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Matron wa Alfagems Sec School Morogoro

    Mwanangu amefika pale sasa hv kaambiwa hostel zimeisha sasa nataka kufanya mawasiliano na matron kupata uhakika.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Matron wa Alfagems Sec School Morogoro

    Habari wakuu, Naomba mwenye number ya Matron wa Alfagems Sec. School anisaidie
  8. T

    JamiiForums Tanzania Result Slip form four 2015

    Shule yao hawapo. Nimempigia mkuu wao kaniambia had trh 9
  9. T

    JamiiForums Tanzania Result Slip form four 2015

    Habari za jioni wadau, Naomba nijue kama baraza la mtihani bado linautaratibu wa muyoa result slip? Inahitajika kesho na mwanafunzi kamaliza mkoani ambako shule zimefunga, mpaka zikifungua nitakuwa nimechelewa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tuna print quality tshrts N.K

    Habari, mpo maeneo gani hapa Dar?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mashuka yanauzwa

    Karibu ununue.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mashuka yanauzwa

    Yes cotton
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mashuka yanauzwa

    Mashuka 2, foronya 4
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mashuka yanauzwa

    Elfu 75,000
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mashuka yanauzwa

    Nauza Mashuka From Pakistan Size 8*9 Bei 75
Back
Top Bottom