Recent content by tikatika

  1. tikatika

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda Sana kila kitu kuhurumiwa tu. Hakuna taarifa za Lissu Bungeni

    nani alitakiwa kutoa taarifa kati ya spika na mwathirika Lissu. kumbuka Lissu kaumia kazini. sio nyumbani kwake ni nyumba za serikali ambazo wameandaa kwa maafisa na kuwahakikishia ulinzi wawapo kazn(bungeni)
  2. tikatika

    JamiiForums Tanzania Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    hadhi yako sio ya bungeni tena ww ni wa kwenda ikulu, hata usjali Mungu kakwandalia makubwa
  3. tikatika

    JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu amri sheria ya takwimu

    Mpaka wabanwe ndio huamka.haya ile timu ya kuunga mkono pingeni sasa. maana tulipopinga mkasema sisi sio wazalendo sasa sijui na serikali yenu sio wazalendo ama vipi??
  4. tikatika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    huyu mbunge kaongea ukweli mtupu , sisi ndio tulikua wa kwanza kuleta nongwa za kubiashara. nataka anaye mpinga huyu mbunge apinge haya anayoyasema kama hatukufanya
  5. tikatika

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    mimi naweza kumwondoa kwa kushinikiza aliye mteua amtoe. unataka kuniambia hata afanye madudu gani wananchi hatuna uwezo wa kumtoa mpaka tumsubili aliyemteua??
  6. tikatika

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    sio kweli ndugu wanaotakiwa kujaji kama anafaa au hafai ni anaowaongoza.sisi wana dar ndio tunatakiwa kumkubali na kumkataa na sio aliyemteua. je akiwa ni rafik yake kiasi cha kumwonea aibu kumtengua ni kigezo cha ubora wake??
  7. tikatika

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    ni muda mrefu kumekua na malalamiko toka kila pande juu ya uwezo wa makonda. awali ilionekana ni upinzani ndio wana wivu naye lakn kadri siku zinavyosogea ule ukweli uliokua unapingwa muda mrefu umeanza kujifunua. kauli ya spika sio ndogo ni kubwa sana haipaswi kupuuzwa. kasema mkuu wetu...
  8. tikatika

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika Ndugai kuhusu Makonda imetupa siri tatu muhimu

    alisikika akisema ana nguvu! nguvu gani hadi spika anamwogopa?? amedgihilisha maneno ya watu kwamba makonda ni naibu rais . kama alivyosema bashite mwenyewe ukimwondoa Magufuli ni yeye kwa viongozi wanaojiamini. kwa lugha rahisi yeye na rais ni sawa sawa
  9. tikatika

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais wa Tanzania kuna watu ningewavua Uraia kwa kukosa Uzalendo

    ww mwenyewe ushakosea, unaongelea mpira hapo hapo unapiga kampeni za urais 2020. sasa hapo unategemea upinzani waungane na ww kwa lipi?? ccm ndio wanaharbu mpira. taifa star ilishinda sifa kwa magufuli ikifungwa mnakausha kama hampo. kama mnavyompa sifa mpeni lawama pia kwa kufungwa
  10. tikatika

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ajabu: Nimewaona Wafanyabiashara wa Tanzania wamekuja Kampala kununua Bidhaa za China

    tatzo ni sheria zetu. hizi sheria zilikuwepo miaka yote. na ilikua ukipatikana lazma ulie na kusaga meno hata kipindi chawatangulizi wa magu. mfano mzuri mafuta. kodi ni kubwa kias kwamba yanapitia dar kwenda malawi na nchi zingine lakn cha ajabu hapa kwetu penye souse ni bei kubwa kuliko huko...
  11. tikatika

    JamiiForums Tanzania Kama Prof. Kabudi analia alikuwa jalalani (UDSM) na sie wanyonge si tuko chooni sasa?

    Pumbavu Pumbavu Pumbavu Yaan mwangwi huh unatawala kichwa changu
  12. tikatika

    JamiiForums Tanzania Kikao cha siri kisichojulikana na watu wasiojulikana Magufuli kuwa Rais

    pumbavu! nahisi wewe sio mtanzania! kiswahili tuu shida ndio utajua mabaya ya JPM? moja tuu la korosho kwa wenye akili alipaswa akae pembeni. amenunua huku hana wa kumuuzia anakuja kumfukuza waziri kwa kukosa wateja. hizi akili au matope??
  13. tikatika

    JamiiForums Tanzania Msilaumu bure hawana uzoefu wa biashara

    nabii lema katika ubora wake
  14. tikatika

    JamiiForums Tanzania Area 51 ni eneo gani haswa?

    alisha liandika hili huyu mvivu wa kusoma,
  15. tikatika

    JamiiForums Tanzania Area 51 ni eneo gani haswa?

    the BOLD alisha elezea hili, pekua utaelimika.
Back
Top Bottom