Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,386
Haijurikani ilipo ila inasemekana ilifichwa kichawi na wajeruman kwa makubariano maalumu
Note
Sio gamboshi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Note
Sio gamboshi
Sehemu iko wapi mkuu wengine wanasema ngerengere Lakin hamna kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Zime bakia siku 3 tu, kufikia tarehe 1/9, ambapo zaidi ya watu laki 5, wanatarajiwa kufanya maandamano Nchini Marekani , sehemu ya Area 51, (Area 51 strom) kwa lengo la kutaka kujua siri za eneo hilo muhimu.