Inashangaza kuwalaumu mawaziri na watendaji wa wizara ya biashara kwa kutokuuza korosho. Sasa nani pale ana uzoefu wa kuuza korosho au biashara yeyote. Sasa bila uzoefu watajuaje cha kufanya usomi sio biashara. Watu wengi hawajui ukishakuwa na degree ya kwanza nyingine za masters na PHD ni research tu . Research hizi mara nyingi hazina uhusiano wowote na kazi wala uchumi wa sasa. Hivyo kuwachagua watu wasomi bila uzoefu ni bora tuchague machinga tu. Wizara ya biashara inataka wafanyabiashara na yale matatizo pale mkutanoni wangetakiwa wameshayajua muda mrefu. Yaani hata lema anajua zaidi🤔