Recent content by tikakami wa lopelope

  1. T

    Camouflagers na informers

    Chato stendi alivua mpaka viatu vikanyoshwa na shoe shiner.
  2. T

    Camouflagers na informers

    Muuza dafu alijipeleka mnyewe wanauwezo wa kunusa wateja wao walipo hasa wakiwa ni watu mashuhuri! Yule aliyempokea Mh Mkt bilauri ya dafu baada ya kulinywa anaweza kufananishwa na mwandishi gani hapa nchini?
  3. T

    Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

    Lulu one ni nani? Wako lulu mpaka namba ngapi? Traffic alipanda daladala redio yake ikawa inapiga kelele lulu one.
  4. T

    Je huyu anaweza soma advance kwa shule za private ??

    Veta au uhazili akasomea type write baadaye anaweza akajiendeleza akawa mtu wa maana katika jamii. Ila umkumbushe akitoboa asisahau njia alizopitia maana huwa wasahaulifu sana.
  5. T

    Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

    Huyo mlinzi hakuniambia hilo ngoja nitamuliza siku nitakapotoka nanjilinji kuja kutembea huko.
  6. T

    Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

    Nimeandika hapo st Marks Sekondari School jirani yangu ni mlinzi hapo na alinielezea vyombo vya dola vililishughulikia hilo suala lilipo jitokeza maana alikuwa zamu getini.
  7. T

    Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

    Hiyo ST Marks NECTA wanajiridhisha nini? Wakati mambo yote yalikuwa wazi na waliodanganya walikamatwa na kuhojiwa na wakasema ukweli wasomo na mwalimu aliye husika kudanganya.. Wasilete mambo uonevu wa samaki mmoja akioza wote wameoza.
  8. T

    Vatican inamiliki dunia

    Pope huyu atakuwa mfuasi wa joka na alipoona joka bwana wake katajwa katika kumdaganya Hawa hapo Mwanzo wa Biblia ndio anataka kumtetea kiana. Mfikishieni ujumbe kuwa sisi tunaongozwa na Roho Mtakatifu katika masuala yote ya kiroho ndiye Yesu alituachia atusaidie na kutuongoza, na kutufariji...
  9. T

    Vatican inamiliki dunia

    Uturuki ni ulaya, Israel ni ulaya fafanua tukuelewe ulaya ya mataifa 7 ni ipi hiyo? Kanisa linaposimikwa kwenye misingi ya uongo hata wafuasi wake kusema ungo ni jambo la kawaida.
  10. T

    Vatican inamiliki dunia

    Huyu si ndiye yule mama aliye tabiri tarehe ya mwisho wa dunia wakati Yesu alisema hata yeye haijui ila Baba. Kanisa likaanzishwa katika misingi ya uongo wa nsma huyu.
  11. T

    Intelijensia ya kijiweni

    Huyo ni wewe sio mimi na ni haki yako. Chomoa Id mojawapo iendelee kupiganisha.
  12. T

    Intelijensia ya kijiweni

    Ukristo ni ufuaswi wa Kristo. Kristo ukisoma Yohana anaitwa Neno. Neno alikuwa kwa Mungu na vyote vilifanyika kwa huyo. Naye Neno alikuwa ni Mungu. Nikuulize wewe na wakijiweni ulio wawakilisha Mungu alianza lini? Pili wafuasi wa Mungu au wanao mwamini Mungu walianza lini? Ukijibu hili la pili...
  13. T

    Tunaisubiri kwa hamu UNITED FRONT

    Cheeeka saaanaaa, hometip.
  14. T

    Membe atua usiku kikachero, ahoji Shibuda alimpinga Kikwete, mbona hakukuwa na nongwa?

    Shibuda naye anazurura huko nje akitafuta watakao muunga mkono kugombea urais 2020? Basi wamuangalie asije akauza siri za kujuakizenji ili kutunisha mfuko wa kununulia kura na wapiga kura. Na ndipo hatari kwa usalama wa Taifa ilipo. Kuuzwa siri za nchi ilikutunisha mfuko.
  15. T

    Membe atua usiku kikachero, ahoji Shibuda alimpinga Kikwete, mbona hakukuwa na nongwa?

    Shibuda alifikia wadhifa alioufikia yeye. Shibuda anajua mambo ya chumbani mwa Taifa kama yeye anavyojua. Ajiulize kwa sasa anavyo endesha maisha yake yeye ni liability ima thamani kwa taifa?
Back
Top Bottom