Recent content by Tiger SR

  1. Tiger SR

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Usimuamini saana mwanasiasa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tiger SR

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ametaka madaraka ya Rais yadhibitiwe

    Kuna muda haya mambo yanahitaji pia utashi wa mtu sababu marekan pamoja na kua na katiba nzuri lakin unaweza ona Trump anazuia shughuli za serikali kuendelea sababu tu bunge limekataa kuizinisha ujenzi wa ukuta katiba bora pekeyake haitoshi ila inasaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tiger SR

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Wanaotafuta Kazi

    Omba Mungu jiandae kikamilifu ijue kampuni unayotaka kuomba kazi omba saaana tena kwa Mungu
  4. Tiger SR

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Mkuu link ya kuweza ku apply kama unayo
  5. Tiger SR

    JamiiForums Tanzania Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Idea nzuri mfano dar es salaam hapa ukiwaacha waende nje c utakua ushawapa waungwana vitoweo
Back
Top Bottom