Recent content by Tieciana

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Inaniuma sanaa Mwakyembe kubadilishwa sasa usafiri wa Treni ndio mwisho wake na mabasi ni ghali sijui nitaweza
  2. T

    JamiiForums Tanzania Si kila mwanamke anafaa kuolewa

    Sio wote jamani kwani ni kabila gain?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, pita hapa nikuume sikio

    Yaani ni kweli hawana shidaaaaaaaaaaa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume kula ubuyu mwekundu ni kujidhalilisha?

    Hizo rangi wanazochanganya si salama hata kidogo chukua tahadhali
  5. T

    JamiiForums Tanzania Madaktari, Hivi hamjui kuandika vizuri au mnafanya makusudi?

    Jamani ukiwa daktari hata kama una mwandiko mzuri utabadilika tu kwani unatakiwa kuwaona wagonjwa 50 na kila mgonjwa kuna mambo kibao ya kuandika ni lazima utaandika haraka haraka mwandiko utabadilika tu ONYO HAWAFUNDISHI KUANDIKA VIBAYA
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Walimu wakuu shule za kata wengi sio wakweli

    Yaani michango inaboa dawati kwa Morogoro 60000 kuna harufu ya ufisadi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa kuanza na mshahara mdogo

    Hongera sana nalifanyia kazi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Joyce Mhaville wa ITV: Ni nani? CV yake mnayo?

    Mi napita tu jamani
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote ni wajanja!

    Ee kumbe!!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Bilal katika majadiliano ya Vijana Malengo ya Milenia baada ya 2015

    Ni kitu kizuri lakini je watachukuliwa walengwa? si kweli watajaa tu watoto wa vigogo na ndugu zao
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nauza Dawa ya Mba sugu ya kienyeji! Usipopona ninarudisha pesa!

    Nitakutafuta mkuu
Back
Top Bottom