Mwanamke, pita hapa nikuume sikio

Mwanamke, pita hapa nikuume sikio

dada yangu Tumboo kama bado hujaoelewa jitafutie domo zenge wako mmoja umeweke ndani, hatakuwa na karaha katika ndoa yako.

njion tu kafika nyumbani, atakuwa anakusaidia hata kukatata vitunguu na nyanya.

Mweeeh! Yaani kazi ya dada afanye yeye? Hela atatafuta nani?
 
Last edited by a moderator:
Umeandika ukweli kabsa, lakn nilikuwa natania tu.

kuweka msisitizo wakamba mwanaume mwenye tabia kama hiyo hatoki nje ya ndoa ndio maana nikasema umeweke ndani?

kuhusu kukata vituguu niliweka msisitizo kwenye point ya kwamba wanapenda sana kuwahi nyumbani kukaa na familia zao kwa sababu hawana mda wakukaa vijiweni na kupoteza mda ndio maana nikatania kwamba anawahi anakusaidia kukata vitunguu.thanks

Cyan6 nakuomba pale uliponiquote jibu lake hili hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom