mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Nimefurahishwa sana na kitendo cha ITV ikishirikiana na UDSM kukubaliana kurusha midahalo ya wagombea urais 2015 live mara ifikapo kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka huu.
Bibie Joyce amekuwa mstari wa mbele kuifanya ITV kuwa kituo bora cha matangazo TZ na hata nje ya mipaka yetu - kweli ITV nyinyi ni Super Brand. Napendekeza huyu mama akumbukwe kwenye tuzo au nishani yoyote ya mwanamke jasiri zinazotolewaga.
Hata hivyo mwenye CV yake amwage tuone background yake kimasomo na kikazi! Nawasilisha!