Recent content by Ticha

  1. Ticha

    Hatma ya wanafunzi waliosimamishwa masomo UDOM itajulikana lini?

    kuwa wavumilivu swala hili linashughulikiwa limekumbana na changamoto ambazo ni tata kidogo.kuna wanachuo wengine wana daraja la tatu la cheti cha mtaani,achana na wale walioingia na vyeti visivyo na sifa,kuna watu wanaonekana wanasifa lakini vyeti ni vya manzese(kughushi) kwa hiyo uchambuzi...
  2. Ticha

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Open University ipi unayoisemea hapa. Open university unasoma na kwenda kufanya mtihani darasani ,Kwa degree hakuna kazi ya kufanyia nyumbani zote zinafanyika darasani.Tofauti na vyuo ambavyo wanachuo wanafanyiwa kazi wao inakuwa kukusanya tu,presentation wanafanyiwa . OUT si ile ya enzi zile...
  3. Ticha

    Tanzania kwa sasa tunahitaji raisi mwenye afya njema anayeweza kukaa ofisini masaa 24.

    kukaa ofisin masaa 24.kwa hyo raisi kazi zake zote ziko ofisin.hata dakitari wa binadamu anatembelea wodini.baada ya kuhudumia wagonjwa ofsini kwake
  4. Ticha

    Picha: Hivi ndo ilivyokuwa Mkutano wa CHADEMA Mufindi Mkoani Iringa leo

    si yazamani hii picha ila imetengenezwa zimeunganishwa picha nyingiii zaidi ya 3.ona ukubwa wa bendela imefunika watu wengiii na umbali huo bendera haiwezi kuonekana kubwa hvyo.chaajabu IMEBEBWA KWA MKONO MMOJA.danganya toto na kujifariji.TULIENI NA KAZI ZENU HUM NDANI MNADHARIRISHA CHAMA.
  5. Ticha

    Katibu wa Nishati na Madini, Eliakim Maswi asimamishwa kazi

    Maswi kasimamishwa kwa mada .chanzo, channel ten taarifa ya habari
  6. Ticha

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    Hili swala haliwezekani ni unafiki tu hapo. Tusubiri mkataba usainiwe tutaona.ni vyama vitatu vingine vimetoka wapi?
  7. Ticha

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    huu ni mkakati wa kuvuruga vyama vya upinzani,wamepanga wenyewe bila kujitambua. Wanasaikolojia angalieni sura zao tu.kila mtu anawaza lake hapo.ngoja tuone
  8. Ticha

    Endapo Katiba Inayopendekezwa Itakataliwa

    udereva ni proffesionalism siasa si proffesionalism kama Udereva,siasai ni kila mtu anaweza. Fani hizo huwezi ukazilinganisha kirahisi hivyo.
  9. Ticha

    Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Bila shaka ni Buhohela na jamaa zake ndo waliteua sample. Usishangae hizo data wakapandanazo majukwaani !?
  10. Ticha

    Sitta anaangamiza taifa la Tanzania, tuchukue hatua kujinusuru

    angalien pande zote wanaotoa maon kwani siuma wa watanzania? 0
  11. Ticha

    Ni kosa kubwa kimkakati ulilolifanya jana Mh. Lowassa

    CHADEMA watamsimamisha Slaa, na Sisi UKAWA tutampitisha Mbowe.lazima magogoni tuingie kwa mtindo huu!
  12. Ticha

    Wanaharakati Helen Kijo-Bisimba na Ananilea Nkya wakamatwa na polisi

    imepitwa na wakati,hii ni mwaka 2012
  13. Ticha

    Hotuba za mawaziri vivuli bunge la bajeti hizi hapa

    hotuba ya wizara ya mambo ya nje iliyosomwa na WENJE Ilikuwa si ya upinzani,mbona haipo?
  14. Ticha

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Ukiangalia kazi iliyofanyika uchaguzi mkuu uliopita,kwa upande wa upinzani CDM walifanya vizuri na ningependekeza katika uchaguzi ujao DR SLAA asimame kwa UKAWA,zaidi ya hapo itakuwa ngumu,kwani CHADEMA tayari wana mtaji.
Back
Top Bottom