Sina uhakika kama Mwigulu anahusika na kupanda kwa dola dhidi ya pesa yenu ya kitanzania.Mwigulu wakati naingia madarakani kama naibu waziri wa fedha twambie dola ilikuwa ni sh:ngapi dhidi yaTz shs?Watanzania hatuzalishi lolote zaidi ya machungwa ya muheza unadhani dola haitapanda?Kila siku...
YERICKO NDIE MCHOCHEZI.HII TAARIFA KAILETA YERICKI NA SI KUBENEA.HIVYO WA KULAUMU KWA UCHOCHEZ NI YERICKO NA KIMBELEMBELE KAMA MAFUA YA ASUBUHI.KWANZA YERICKO Mzushi sana kuliko pepo mchafu.we tangu lini na wapi dunian rais aliagiza raia wake hususan wanachama wake wapigane na wapinzani;?rais...
(afutiwe uanachama kwa kosa gani la pekee alilofanya kaka lowassa?kati ya wote walioitwa yeye ndie mkosefu kuliko wote?au ni kwa vile jina lake limewakaa akilini nanake bila lowassa kumtabilia mabaya hamli na kushiba!!mshindwe na mlegee kwa jina la yesu alie hai!!.mapepo ya makonda na nape na...
ni kweli mbunge huyo ana utajiri mkubwa sana.anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa,anajenga chuo cha ualimu,ana hisa nying ktk shule ya tu...me,hivyo hawez kutetea bei za kahawa kwa wanajimbo lake kwa vile ana maslahi.ni mzee mno lakin hataki kuachia jimbo.hataki kusikia kijan anataka...
Mwl.Nyerere ktk hotuba yake miaka ya 70 akizindua chuo cha ualimu chang'ombe alisema kazi ya mwalimu ni kuleta mapinduzi ktk jamii.sio ya kijeshi,ni ya kifikra.sasa walimu wa tz wameshindwa hilo jambo.wameshindwa kuleta mapinduzi ya akili na badala yake wamesaidia kuua akili za watz.walimu...
We kweli ni mburura!!eti wengine hatumtaki yeyote toka CCM?gombea ww basi ili tukutake.sijui ulikuwa unawaza nyonyo ndipo ukaona uandike maziwa yako hapa?LOwassa sio lazima apendwe na watu wa dizaini yako.afu ujue uko peke yako asiemtaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.