vipi hali wana jukwaa ni imani yangu munaendelea vyema na harakatu zenu za kila siku.
ninauza smartwatch kwa bei ya shilingi 55,000 tu ya kitanzania.
kupitia smartwatch hizi utakua na uwezo wa kupiga simu na kupigiwa,kutuma meseji,kupiga picha,kurekodi sauti na video .takribani kila ambacho...
Vp hali zenu wana jukwaa . Nimemaliza diploma katika fani ya manunuzi , ila kwa upande wa degree nimeona niombe uhasibu . Kwani naona ni vyema kua na vyeti viwili vya fani tofauti ,kwani hapo baadae nitakuja kutumia vyote viwili . Je maamuzi haya ni sahihi na yenye tija?
Vp hali wanajukwaa .nahitahi kujua kama ukiwa mwaka wa pili degree kuna uwezekano wa kupata mkopo wa HELSB . au uwezekano unakua mdogo coz wanaconsentrate na first year
Kama tunavoelewa ya kua tarehe 15/9/2016 TCU ilitangaza kushusha viwango vya kuingia chuo kikuu kwa wanafunzi waliomaliza diploma kutoka 3.5 mpaka 3.0 ,na kupewa fursa ya kuomba vyuo ambapo mwisho ni 23 september . Je bodi ya mikopo inaweza kuja kuwafungulia vijana hawa kuweza kuomba mikopo...
Vp hali wanajukwaa ? ningependa kujua hivi kuna uwezekano kwa mtu kurudi uraiani baada ya kumallza mkataba wake na jkt , ikiiwa mtu huyo ana elimu ya diploma Au degree ?
vipi hali wana jukwaa , nilikuwa na hitaji na wanafunzi wanaosoma katika hivyo vyuo nilivyovitaja hapo juu ,ningependa wanijuze kuhusiana na kozi ya CLEARING AND FOWARDING ikiwa bado inasomeshwa hapo vyuoni kwao
mkutano wa hadhara wa UKAWA uliokuwa ufanyike kesho hapa Zanzibar umepigwa stop na jeshi la polisi kwa madai kuwa ni sababu za kiusalama , hasa katika kipindi hichi cha skukuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.