KUPATA MKOPO WA HELSB MWAKA WA PILI

KUPATA MKOPO WA HELSB MWAKA WA PILI

tibmanzenjj

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
18
Reaction score
4
Vp hali wanajukwaa .nahitahi kujua kama ukiwa mwaka wa pili degree kuna uwezekano wa kupata mkopo wa HELSB . au uwezekano unakua mdogo coz wanaconsentrate na first year
 
Miaka ya nyuma ilikuwa rahisi wengi tuliosoma nao walipewa mikopo mwaka wa pili tena minono sana.. Ila kwa mwaka cjui ila jarbu tu
 
Mwaka huu mwanangu hamna linalotabirika nchi imegeuzwa kichwa juu miguu chini!
 
Guidline inaonesha unaruhusiwa kuomba mkopo...so ..inategemea na course unayosoma..(priority course.
 
Back
Top Bottom