SMARTWATCH ZINAPATIKANA HAPA KWA BEI NZURI.

SMARTWATCH ZINAPATIKANA HAPA KWA BEI NZURI.

tibmanzenjj

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
18
Reaction score
4
vipi hali wana jukwaa ni imani yangu munaendelea vyema na harakatu zenu za kila siku.
ninauza smartwatch kwa bei ya shilingi 55,000 tu ya kitanzania.
kupitia smartwatch hizi utakua na uwezo wa kupiga simu na kupigiwa,kutuma meseji,kupiga picha,kurekodi sauti na video .
20190807_101736.jpg
takribani kila ambacho unaweza kupata kupitia simu yako mkononi kwenye smartwatch inakuwezesha kukipata.pia application mbali mbali kama whatsapp twitter zinapatikana.ina sehemu ya kuweka laini na kuweka memry card
mimi napatikana Zanzibar kwa namba +255774234557 pia kwa Dar es salaam ninae agent wangu namba yake ni +255692463430.
karibuni sana
20190807_095054.jpg
.
 
Inakaa na chaji kwa mda gani bila kupiga au kupokea simu?
 
Back
Top Bottom