Recent content by TIBIM

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Watendaji Kata nchi nzima

    4000
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hilo la kuondoa mihula miwili ya Urais tunapaswa tulipinge kwa nguvu zote

    Usimkufuru Muumba wako hata kama ni mnufaika ukahukumiwa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hilo la kuondoa mihula miwili ya Urais tunapaswa tulipinge kwa nguvu zote

    Aliyepeleka shauri ile mahakamani ukifatilia utakuta lzm ana link na dots.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuwashtaki kwa "Uhujumu Uchumi" Wachawi Wetu; Swali hili Serikali ilijibu kwanza..

    Kwa uthibitisho wa kauli ya msemaji ni uthibitisho ya kwamba watu wanabambikwa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mijira imekatwa

    Imekatwa kabisa Kwa wanyonge ikazibukia Kwa wateule wachache hadi wakisaza baada ya kuhonga michepuko na kwenda check up Kwa dola 12M huku wengi tukiimbishwa chorus ya uzalendo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mijira imekatwa

    Badala ya kuwaondoa wakoloni tungetengeza mfumo huru wa kuwafaidisha wote
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Samweli Kiboye mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ailete humu

    Sio mtz hivo kajifichia chamani huku akibweka kuzuia kushutukiwa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tufanye tathimini sasa juu ya ubora wa elimu ya msingi itolewayo bure

    Elimu,usafiri wa wanafunzi vitakuwa bora endapo tu Sheria ikatungwa watetezi wa wanyonge wote ni lzm wasomeshe watoto wao hizi shule za kata,na wasitumie mav 8 kupelekea watoto wao shule Hapo elimu itakuwa bora zaidi ni ngonjera tu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ya Kimaendeleo kwa nchi hasa pale mara kwa mara Rais wake akiwa anaonyeshwa akiwa Kanisani Ibadani

    Kuna kisa kimoja kilivuma miaka ya nyuma. Siku ya jumamosi moja,Mfugaji mmoja baada ya kuuza mifugo yake akapata pesa nyingi nayo jioni ikaingia akapata Wazo nikienda lala nyumba ya wageni naweza vamiwa nikauwawa nazo pesa zikachuliwa,hivo Salama nitafute nyumba ya ibada ni Salama kulala...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ya Kimaendeleo kwa nchi hasa pale mara kwa mara Rais wake akiwa anaonyeshwa akiwa Kanisani Ibadani

    Iddi amini akihojiwa na mwandishi wa BBC huku akijifanya kuona aibu amewahi tamka ktk maisha yake hawezi na wala ajawahi kuuwa hata sisimizi.Unaweza ukawa Kanisani kimwili huku roho iko nje kufikiria nimtoe nani kafala Leo ili niridhishe nafsi. MTU muovu hawezi kuwa na Amani maisha ni na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt.John Magufuli Na Mkewe Mama Janet Magufuli Leo 01/09/2019 Wameshiriki Misa Takatifu Katika Kanisa Katoliki La Mtakatifu Petro Oysterbay

    Mkristo wa kweli utambulika Kwa matendo yake ya kumtukuza Mungu sio kujazia waumini mabenchi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa pongezi kwa Makaburu wa Afrika ya Kusini

    Hapana ni maamuzi ya mtu na mjomba wake
  13. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa pongezi kwa Makaburu wa Afrika ya Kusini

    Pana watu wanalengwa wapewe uhujumu uchumi ili waozee jela hadi uchaguzi upite. Japo wameoneka church leo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa pongezi kwa Makaburu wa Afrika ya Kusini

    Kezi za uhujumu uchumi kuna watu wamelengwa waozee jela watatolewa uchaguzi ukiisha,japo kaonekana Kanisani.
Back
Top Bottom