Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Baadhi, lakini baadhi ni mibaya sana.Baadhi ya Misingi ya ujamaa ni mizuri sana
Baadhi, lakini baadhi ni mibaya sana.Baadhi ya Misingi ya ujamaa ni mizuri sana
Viongozi hawa wa Kiafrika wanaoua na kutesa? wasiotaka kuona mtu mwenye mitazo au mawazo tofauti?Africa itakuwa huru kama tukijithamini na kujitambua Waafrika wengi hatujiamini na hilo ndio tatizo, tayari tupo programmed kwenye mindsets zetu kwamba hatutoweza kujitegemea pasee
Utashangaa hata kiongozi wa kiafrika akiinuka na kutuhimiza kwamba Africa tunaweza hata kuzalisha nguo zetu wenyewe na kupeleka mitumba ulaya ni Waafrika hao hao tunashiriki kumvunja moyo na kumkwamisha
Usijetegemea kama Africa itakaa ipate uhuru wakati Waafrika ndio hulipwa kumchafua kiongozi wa kiafrika ambae anawakera mabeberu yaani Waafrika kwa kifupi ni bado sana hasa kwenye akili tuna shoti zimeacha majanga
Kama wewe ulivyolewaUmeelewa aje?
Africa itakuwa huru kama tukijithamini na kujitambua Waafrika wengi hatujiamini na hilo ndio tatizo, tayari tupo programmed kwenye mindsets zetu kwamba hatutoweza kujitegemea pasee
Utashangaa hata kiongozi wa kiafrika akiinuka na kutuhimiza kwamba Africa tunaweza hata kuzalisha nguo zetu wenyewe na kupeleka mitumba ulaya ni Waafrika hao hao tunashiriki kumvunja moyo na kumkwamisha
Usijetegemea kama Africa itakaa ipate uhuru wakati Waafrika ndio hulipwa kumchafua kiongozi wa kiafrika ambae anawakera mabeberu yaani Waafrika kwa kifupi ni bado sana hasa kwenye akili tuna shoti zimeacha majanga
Viongozi hawa wa Kiafrika wanaoua na kutesa? wasiotaka kuona mtu mwenye mitazo au mawazo tofauti?
Viongozi hawa ambao ukiwaambia ukweli wanakimbilia kusema umetumwa na mabeberu? Viongozi wa Kiafrika ni wakoloni wenye roho mbaya zaidi ya wakoloni Wazungu, advantage yao na kinachowaponza wale wenye upeo mdogo wa kuchanganua mambo ni pale wanapojiona wanafanana rangi na hao wakoloni wa Kiafrika.
Watu kwa upeo mdogo wa uelewa wamekuwa brainwashed na kuwafanya hizi cheap and stupid terms kama 'mabeberu' zinatumika kuwapumbaza na kuwafanya wazidi kuwa wapumbavu.
Ujamaa tulio adopt sisi ulikuwa ujamaa wa kishamba na unaoendeleza hali ya umaskini.
Ww hata huelew nn maana ya ujamaaUliwashinda kwa mujibu wa akili yako finyu, China and Russia ni World's super power nations so far na ni ujamaa umewafikisha hapo, after all kuna mataifa mengi tu nayo yameshindwa pia kwenye ubepari
Hivi Unajua Bank kubwa duniani zinamilikiwa na nani?
Ujamaa ndio huu wa China niujuao, ninyi mnasema China imeshindwa ujamaa mna hitilafu kichwani, Russia ni superpower kwenye military na ni huo ujamaa umewafikisha hukoWw hata huelew nn maana ya ujamaa
Ujamaa ndio huu wa China niujuao, ninyi mnasema China imeshindwa ujamaa mna hitilafu kichwani, Russia ni superpower kwenye military na ni huo ujamaa umewafikisha huko View attachment 1194163
Primitive perceptionAzimio la Arusha na Mwalimu Nyerere
Ili kuwa nu misingi ya Utu na Uzalendo
Zamani tulifundishwa kwa Katuni zinazojieleza.
Tuirudie tu hii Misingi ya utu.tusilalamikeView attachment 1193953View attachment 1193965View attachment 1193966View attachment 1193967View attachment 1193968View attachment 1193970View attachment 1193971
Ulikuwa mfumo Wenye Laana!Ujamaa bhana noma sana
Kuliwa kupo ila usilinganishe unyonyaji uliokuwa ukifanywa na makaburu Africa kusini na neno "win win situation" ule ulikuwa ni unyonyaji na utumwa hata Tanzania japo tulikuwa huru lakini hatukupaswa kumiliki uchumi, ardhi yetu na madini yalikuwa mikononi mwao sasa hapo utajiitaje upo huru kama mpaka chakula ni mzungu ndio anakulisha ndani ya taifa lako?
Imekatwa kabisa Kwa wanyonge ikazibukia Kwa wateule wachache hadi wakisaza baada ya kuhonga michepuko na kwenda check up Kwa dola 12M huku wengi tukiimbishwa chorus ya uzalendoMijira imekatwa