Kununua migodi sio tatizo, tatizo na pale unapo uziwa mgodi wa makaa ya Mawe kwa shs 5bil , ina maana kapewa bure , ila hiyo shs 5 bil inalipwa tu Ili kuonyesha Kwamba mgodi ikiuzwa!
Polisi mnatakiwa kujua kwamba watanzania hawajafikia kiasi hicho cha Ujinga! Sio wajinga kiasi hicho!
Haiwezekani kila Kiongozi wa Chadema ana jinai ya kujibu, na haiwezekani jinai yake inasubiri hadi siku anayo kuwa na safari ya nje ya nchi!
Amani Gulugwa alizuiliwa kwa jinai ambayo hadi leo...
ACT Wazalendo ambao wanajiona sio machawa wa ccm, wakati wa uchaguzi Mkuu 2020 Tanzania Bara walipata wabunge wangapi!? Jibu ni hakuna hata Mbunge MMOJA!
Kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, walipata Wenyeviti wangapi!?
Idadi iliyo patikana inalingana na uhalisia wa kukubalika kwa ACT...
Kama angekua kiongozi mzuri Huyo akiyetaka kutoa hela ya Rushwa angemfikisha mikononi mwa sheria, Kamanda wa TAKUKURU wa Mkoa na wilaya wako chini yake, Mbona hatujasikia wamemkamata yeyote!
TAKUKURU anaitumia kama kichaka, hata Kwenye michezo alisema kwamba YANGA wanatumia Ujumbe kwa wchezaji...
Mechi hii ndio ina mvuto zaidi kwakua atakayeshinda bingwa, wakitoka droo mmojawapo bingwa ,kwahiyo mvuto wa mechi hii ni mkubwa zaidi kuliko kama ingechezwa tarehe 08/03 au tarehe 15/05
Hoi kesi ukimalizika, inatakiwa ichukuliwe kwamba precedent iletwe hapa Tanzania Ili watu na Jeshi letu lijifunze uwajibikaji! Maana watu wanakuwa kama mbuzi na watu wasiojulikana hakuna anayewajibishwa hapa!
Tapeli wa viwanja vya watu anatafuta huruma! Kila mtu katika nafasi yake owe ndogo au kubwa yuko hapo alipo kwa màpenzi ya mungu, kwahiyo tunatakiwa kuheshimika, tutende wema kwa wadogo na wakubwa, lakini ka awatu wanaotekwa ukiongea unakamatwa , nasi hakuna atakaye heshimu wakubwa kwakua...
Hiyo sio saws, Kanisa kama Kanisa haliwezi kusema msiipigiw kura ccm, ila lina jukumu la kuieleimisha jamii kwamba hili sio saws na hili ni sawa!
Kwahiyo, waumini wanapaswa kumchagua kwa utashi wao, ukisema Kanisa liwagize waumini wasiichague ccm , hiyo itakua kuingilia siasa na inawezekana pia...
Tatizo watu hamjui Chadema inataka nini nchi hii, Chadema wanajua mawakili anawaonea! Kwahiyo wakimwendekeza atazidi kuwaombea haha katika mambo mengine!
Kwahiyo,Ili kuondoa uonevu kwao na kwa vyama vingine, walishinda kesi ,wanakua wameweka msingi ,ambao mahakama ,au kesi nyingine zitafanya...
Ndio Maana anasimamia Makanisa zaidi ya 2000, ina Maana sadaka zinasaidia kueneza neno la Mungu ndio Maana anazidi kufungua matawi zaidi!
Gwajima tatizo sio Sadaka zinaenda wapi, Gwajima ametaka au amekemea utekaji na watekaji, tatizo la kukemea kutekwa kwa watu ni nini!? Amekosea nini kukemea...
Inaaikitisha kwamba tukashindwa kuiendesha biashara ya daladala ambayo haina ushindani!
Tumeshindwa kukusanya nauli ,kupanga routes na kupeleka magari services!? Kama tukashindwa kuiendesha biashara ya daladala, je biashara ya SGR biashara ya ndege tutaweza kweli!?
Vijana tunawasomesha NIT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.