Recent content by thy

  1. thy

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    We mwenyewe unaongelea humu jf ambapo all ur infos are confidential,unadhani kuikosoa serekali publically ni kazi rahisi??? Esp awamu hii ya wateka nyara??? Charity begins at home,anza ww ulioko hapa tz tuone ujasiri wako then ndio uje umshambulie Mange,usikute unemfollow kabisa na anakupasha...
  2. thy

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Hzo camera footage za makonda akiingia clouds fanya kumrushia dada mange ili atupe ubuyu vzr,nadhani itakuwa msumali wa mwisho kwenye jeneza lake[emoji41]
  3. thy

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Binafsi naunga mkono harakati za mwenye jiji lake la bandari salaama,ila nahoji dhamira yake haswa ni ipi??? Hapo awali katika kuwazima upinzani na maandamano yao ya UKUTA na ya kudai BUNGE LIVE alikuja na campaign ya usafi mara kupanda miti mara ziara ya dsm nzima nk Leo hii dsm na nchi kwa...
  4. thy

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Huyo ndio raisi wa wanyonge ambae anateua na kutenga then ana teua tena huku kundi kubwa la wanyonge anao wasimamia wakilia njaa...sijui atatukumbuka lini maana tangu achaguliwe uraisi yeye ni kuteua na kutengua tuu ajira kwa wananchi hakuna [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24]
  5. thy

    Nani kamponza Mama Rita Mlaki kumjibu Mange ?

    Wabongo hatupendi utter truth(ukweli) tunapenda vitu viwe sugar coated,sasa huyu maza na binti yake wameenda kuchokonoa mzinga wa nyuki(mange) wakitarajia wapate asali mwisho wake wameotea manundu(matusi) Mange kalipiza kisasi,hakuna baya kwa kulipiza kisasi coz hata dini inaruhusu:jino kwa jino...
  6. thy

    Nmekuja kuamka Siku ya Pili nimevaa boxer tu. akina dada na wanaume wenzangu chondechonde

    Una bahati hawajakulawiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au unatuficha kumbe washatatua rinda???
  7. thy

    Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

    Binafsi nampongeza dai kwa kazi nzuri ya kupeleka muziki wetu to the next level,ila naona kama graph yake inaanza kushuka coz nyimbo anazotoa ni "BIG G" Collabo yake na p square haina hata miezi 3 ila ishajifia mbali...akae chini atazame the nxt thing to do kuboresha game yake Kaka Ali yuko poa...
  8. thy

    Lijue soko la HISA

    Kampuni gani unaizungumzia hapa???tuangalie possibility ya kuwekeza
  9. thy

    Mwanangu makelele kitandani sio sifa pekee ya mke bora

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom