Recent content by thuma

  1. thuma

    Namungo wanaweza kuiadabisha Simba Jumatano, kaeni chonjo

    Daaah! Teja jingine limeshajidunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. thuma

    Namungo wanaweza kuiadabisha Simba Jumatano, kaeni chonjo

    Naona Teja limeshajidunga[emoji23][emoji23][emoji23] Berkane ya wapi ?
  3. thuma

    Yanga dirisha dogo wafanye marekebisho maeneo haya

    Mm naona wew unachuki binafsi tu na jamaa, amefafanua vizurii sana na ameongea ktk science ya mpira wala hajaweka ushabiki sioni sababu ya kumshambulia. Labda Kama Kuna sababu nyingine zaidi ya hii , vinginevyo nikushauri mwananchi mwenzangu epuka makasiriko yasiyo na sababu utazeeka mapema.
  4. thuma

    Yanga dirisha dogo wafanye marekebisho maeneo haya

    Daaah! Wewe ni nyota katikati ya giza. Ni mwelevu katikati ya mambumbumbu. Inaonekana Simba yote mwenye akili ni wewe na janja janja mwamedi wengine wote ni misukule yenu mnaiburuza mtakavyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. thuma

    Yanga dirisha dogo wafanye marekebisho maeneo haya

    Duuh! Punguza ukali wa maneno japo kidogo ndungu
  6. thuma

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Mateja fc[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. thuma

    Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

    Daaah! Wadada mnavumilia ambayo hata hayapaswi kuvumilika.
  8. thuma

    Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Also is the true killer
  9. thuma

    Walioachana na wenza wao wa kwanza kisha wakaoa na kuolewa tena

    Zamu yako ya kumegewa binti yako imewadia.
  10. thuma

    Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

    Mama D si ndo wewe au? [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. thuma

    Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

    Pole sana mkuu! Usikimbilie kuvunja ndoa yako kisa huyo single mother, ningekushauri either kumtimua mke wa ticha au kumuitia wazee au viongozi wa kanisa mkeo.
  12. thuma

    Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    Jana singida kawainamisha , mkainama akashindilia hogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkakukuruka kulichomoa wee likachoka na mavi just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee
Back
Top Bottom