Recent content by Thuganomic

  1. Thuganomic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😂😂
  2. Thuganomic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Haircut pekee ni dollar 30 hadi 70 pia huko hakuna midosho ya abibas lazima uvae vitu original, hakuna kudownload nyimbo lazima ulipie Spotify, hakuna kuweka muvi library kwa buku lazima ulipie Netflix na makorokoro mengine kibao
  3. Thuganomic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huo ndo uhalisia, gharama za maisha huko majuu sio sawa na hapa bongo
  4. Thuganomic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    He earns in dollars and spends in dollars. Unataka alipwe kwa dollars halaf umlinganishe na mtu anaelipwa shilingi kwa matumizi ya shilingi?
  5. Thuganomic

    JamiiForums Tanzania Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    24,000km/hr ni sawa na 400km per minute, kwa dakika 6 missile itacover 2400kms. Punguza common sense kwenye mambo ya tech, watu wapo mbali sana
  6. Thuganomic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lyrics Identification Challenge

    Wake me up-Avicii
  7. Thuganomic

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    Huu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Back
Top Bottom