DOGO SKIA CHUO ASILIMIA 99.999999% AKUNA MAPENZI YA KWELI FIKIRIA KWANI UKO ALIKO TOKA ANA MTU WE KAMA UTAWEZA PIGA SEPA UTAKUJA NISHUKURU BAADAE ALAFU SOMA MBWAAA WEWEEE MAISHA MTAANI MAGUMU
Inawezekana fata maelezo aya ninayo kupa
Vitu unavyo takiwa kuwa navyo
1.bettry 12v,24v
2,AC to DC inverter iwe input 220ac
utput 18dcV kwa jili ya kuchaji bettrt ya volt 12
Na 30dcV kwa ajili ya kichaji bettry ya volt 24
3.12v dc na 24v dc inverter kwa ajili ya kubadili umeme wa dc kwenda ac...
Ukitaka kujua watt ya kifaa chako chukua ampere ×voltage y kifaa chako
Mfano iyo flat scree yako apo ilipo andikwa 19v kutakuwa n ampere zimeandikwa pia kwa flat tv nying za inch 24 itakuwa imeandikwa 4A au 3A
A nikifupi cha ampere n V ni kifipu cha voltage
So 19v × 4A =76watt
Kwa mm nilivyo muelewa ili nijiko kama yale ya wakaanga chipsi yana feni ya kupuliza moto uwake kwa nguvu ss iyo feni ukiunga na umeme itakula 1unit kwa mwezi mzm
Swali iyo adapter unaotumia ina kula watt ngapi mkuu niji akikishie kwamba ni kwl kwa mwezi naweza tumia 1unit
Habari za muda huu wana Jamiiforums, nisiwachoshe mwenye min pocket wifi ya 4G inayoingia lain ya halotel au lain yoyote ile anicheki tuongee biashara namba 0621 074 991
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.