Recent content by thommyGustavo

  1. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    ndo wapi huko?
  2. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    ndio
  3. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    kama kaz yapatkana nakuja
  4. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    Dodoma
  5. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    noted
  6. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    nipo tayari as long as its legal
  7. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uzoefu wa computer

    Mimi kijana wa kitanzania umri wangu ni chini ya 30, natafuta kazi kwenye kampuni au office ya mtu - ni mzoefu kwenye computer activities - computer maintanance - pia ni degree holder from here Tz university payments can be negotiable i dont expect much but atleast reasonable salary
  8. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Happy birthday

    kapata mshahara ee ndo maana umeanza adi post jf??!
  9. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    na hilo jina ndege john utaenda mbingun kwen au utaishia hewan
  10. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    mbona kitu kirahisi hivyo jaman na nyie wana jf bana
  11. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Biashara

    tuliingia makubaliano kwamba namsaidia kaz bt mm watu wa kutengenez computer wakija inakua nje ya ofc sasa wakawa wanakuja weng yy naona hakupenda
  12. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Biashara

    tutaongea hayo ni makubaliano tu
  13. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Biashara

    nipo arusha kwa kuzaliwa na kuish
  14. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Biashara

    hilo ni wazo zuri pia kaka, ila volunteering kwenye stationeries wanakua na waswas maybe kuibiwa na nlishafanya hvo mwny stationery akaona kama wivu kufanya vtu vng kwa mda mchache akaniita na kusema mdg wng atanisaidia so ww naomba upumzke
  15. thommyGustavo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Biashara

    uaminifu kwakwel kwa binafs me ni mwaminifu and nipo tayar provide all necessary information kunihusu pia kima cha chini sijaelewa ni mtaj au mshahara??
Back
Top Bottom