We bibi acha kubwabwaja nani kakwambia hi nchi ni ya kikwete kikwete alipewa mamlaka ya kutuongoza tuu na sasa muda wake unaisha aondoke kama nchi ni yake abaki basi mpaka mwezi wa 12 aone nchi kama haija waka moto!!
Mm mwenyewe nilikiwepo hapo cdt na mm ni chadema damu zitto hana sera wala mawazo mapya yoyte na ukichunguza sana utagundua a c t ni zitto bila zitto hakuna chama pale na nimewambia vijana kama a c t wana jihamini wafanye mkutano bila zitto wata pata aibu ya mwaka!!
Police wamekuja kwenye tukio wamekuta watu wengi wao wakaanza kupiga mabomu bila kujua wanampigia nani hali siyo shwari kabisa bodaboda wamefunga njia na wanarusha mawe masabo!! Poloci wao ni mabomu tuu kuanzia asubuhi!
Walichokiona leo waki na lembeli na mwenzake maige kimewaacha kinywa wazi kwa kweli mji ulisimama gafla mbowe alipoingia mjini watu ni wengi sana sasa ivi ndo tunaelekea uwanjani siditii!
Mkutano wa mbowe ni kesho ataanzia kwa waliopatwa na maafa halafu atamalizia mjini kwenye uwanja wa siditii!! Hamasa ni kubwa sana nimezunguka kwa waliopatwa na maafa wanasema wanamsubiri kwa hamu sana mbowe!!
Kamanda haya mambo ya kulalamika mm nimeshachoka kwakweli tunachosubiri kwa sasa ni kauli moja tuu kutoka kwa viongozi wetu wakuu wa upinzani Kama ni kulalamikia police sasa ni miaka mingi wameacha wananchi wameamia kwa viongozi jamani uvumilivu huu mpaka lini? toeni kauli moja tuu Kama viongozi...
Lembeli mwisho mwaka huu kamanda kahama kuna mwamko sana wa upinzani lembeli aende kijijini kwao huko tunasikia kuna jimbo mpya huku town hatumtaki tena!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.