Updates za BVR mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu

Updates za BVR mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari wa jf.
kulingana na ratiba ya tume ya uchaguzi tanzania (NEC) inaonyesha kuwa leo tarehe 2/6/2015 Ndio siku ya kuanza rasmi kwa uandikishaji na kuhitimishwa tarehe 4/7/2015 kwa mikoa husika.
tunaomba updates kwa kinachoendelea kwa wananchi mliopo huko,,
 
Huku nyangalata sijawaona labda huko kalumwa.
 
Shy town sijasikia wala kuona chochote so far
 
Mwanza hakuna kitu, hata fununu tu hakuna

Jana niliwauliza mwenyekiti wa mtaa na mtendaji kwamba kituo cha kujiandikishia ni wapi walinijibu hawajui chochote wala hawana taarifa
 
maandaliz kwa mkoa wa mwanza yapo maana wilaya ya kwimba washaandaa waandikishaji n.k xo at any day zoez linaweza kuanza mathalani ni cku saba kila mkoa.
 
Tarehe 9 jumatatu mambo yanaaza wiki ijayo mjipange!
 
Kwa mwanza inabidi kufuatilia kwa ukaribu sana kwani ccm kupitia nec,wanajuwa kuwa wanamwanza hawaitaki ccm,hivyo watajitahidi kwenda kinyemela ili watu wengi wasipate nafasi ya kujiandikisha
 
huu utawala feki ivi unatutaka nini hasa sie watanzania? kujiandikisha imeakua ni suala la hisani? yan tumekaa kama digidigi twachungulia tuko juu juu tu kujua wanafika lini na watakua wapi twende tujiandikishe kweli? kwanini hawatangazi km masuala ya kampeni zao....wakati ni HAKI ya kila mtanzania na wanapotoa siku 7 kila mkoa wanafikaje kila mahali ili watu wote wajiandikishe mana twatofautiana shughuli na muda pia....wanaminya nn hawa mambwiga? TUNAWASUBIRI kwa hamu
 
inchi ya maajabu sana CHADEMA wakituhamasisha wao tume wanaanza kumind
 
Back
Top Bottom