Natumaini ni wazima wa afya na mkotayari kwa mapokez yangu,nitafurahi pindi nitakopoona nakaribishwa na kupokelewa kwa moyo mkunjufu bila kinyongo.Asanteni,,,..@
Madereva wa daladala wagoma kuingia barabarani na kusababisha wananchi kuchelewa makazini kwao vivyo hivyo na kwa wanafunzi pia chanzo bado sijakipata ila kwa tetesi ni kwamba hawaitaki stand ya daladala ya nyakato-buzuruga kwa madai imefinya sana kwa hiyo wanashndwa kupishana hadi aanze kitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.