Recent content by Thomas Juma

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Kipindi cha kutoa na kupokea rushwa kimefika!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ipi itafaa kukaushia kidonda cha Opresheni?

    Peace92 njoo uwaambie madaktari umbile lako na ujumuike kuwaeleza jinsi operation ilivyofanyika ili upate msaada mzuri na utakao kufaa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Toyota passo inauzwa 7.9M

    Uko wapi mkuu, 4M unachukua
  4. T

    JamiiForums Tanzania Need for Quick and Cheap Financial Help (LOAN)

    Jamani ukiwa na biashara tu Kama dhamana yako ni kampuni gani inaweza kukupa mkopo.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Business Opportunity, Training and Consultancy

    Kanda ya ziwa mna ofisi?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mpharmacia anahitajika!

    Habari ndugu wana jf, Nimatumaini kuwa tumeamka salama kabisa tuombe Mungu pia atujalie afya njema na kutubariki tuweze kupata mkate wetu wa kila Siku. Ndugu wana jamvi Mimi natafuta mpharmacia ili tuweze kufanya nae biashara ya duka la dawa za binadamu maana tusio na taaluma tunapaswa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy

    Nina shida pia na mphamasia ofisi itakuwa Mwanza mjini.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

    Hata hii imekubali.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

    Yangu inashindwa kukubali katika code hii *#12580369# zingine zote ziko poa hadi hii uliyotoa sasahivi je ni feki nayo?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

    Zimekubali kasoro hii *#12580369# kwahiyo simu yangu ni feki?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pharmacy

    Habari za jioni wana JF Kwa heshima na taadhima nimeamua kuwa Mjasiliamali. Ni kwa kipindi cha miaka 4 sasa nikiwa kwenye ajira ya makampuni,nimekuwa mtumishi mwema kwa kipindi changu chote na wala sijawahi kuwa na kashfa yoyote kwenye ajira yangu. Kwakuwa napenda kujiajiri kuliko kuajiriwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Kweli aisee! Anabusara za kutosha naamini hata familia yake iko vizuri sana. Ninamaanisha huwezi ilnganisha na familia ya Ummy Mwalimu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Dr Bernadeta umejaaliwa busara na wanawake wengine wangefuata mfano huo kweli tusingeweza kujutia kodi zetu.Lakini hadi sasa mnamaliza kodi zetu bure hasa wanawake wanaocheka cheka hovyo bila hata kuangalia kinachozungumzwa. Kweli mnatukera mnaotuwakilisha.
Back
Top Bottom