Recent content by ThnkingAloud

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Mastermind wa mauaji kapigwa pin kuingia Ulaya

    Kiswahili hujui na Kiingereza hujui. Chawa nini?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Nimeambiwa kazi inafanyika kuzibua mitaro baada ya keleke nyingi. Namshukuru yeyote añayelishughulikia suala la kuzibua mitaro iliyoziba na kuzuia utiririshaji wa maji yenye kinyesi na harufu kali ya uvundo. Lakini mbona mnatumia wafungwa bila kuwapa zana za kujikinga mwili. Siyo ubinadamu na si...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Transforming Underutilized Urban Zones into Multi-Purpose Recreation Areas

    Oh my God! It appears proposal to turn such places into ICDs we are seeing these days in Dar es Salaam was long well-crafted while most of us were in deep sleep!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Quasi-Judicial Bodies - Nawapongeza sana

    Wataalamu wa sheria wanatueleza kuwa Quasi-Judicial Bodies kama Mabaraza ya Ardhi, Tume ya Ajira, n.k. siyo MAHAKAMA. Lakini tangu serikali (iliyokuwepo wakati huo - siyo hii ya sasa) ilipoamua kuwa mashauri kama ya Ardhi, Ajira, Kodi, n.k. kusikilizwa na Quasi-Judicial Bodies hizi kabla ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    Pita pale Kamata Dar es Salaam. Nilikuwa pale juzi ni hatari. Pananuka uchafu wa chooni kuanzia kwenye reli mpaka kwenye mataa ya ya Kamata maji ya chooni yenye kinyesi na harufu chafu yanatiririka hovyo barabarani. Halafu pale ni JIJI LA DAR ES SALAAM. Wakuu wanahangika na Mabasi ya Mikoani...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Kwa nini usubiri vurugu ziwepo ndiyo uamke usingizini? Mahitaji ya nchi ya pikipiki yalikuwa yanajulikana siku zote. Iweje pikipiki zinakuwa imported kwa kiasi cha kutisha zinapitai pale Bandari ya Dar es Salaam lakini mtu hajiulizi kuna nini kimetokea kwa idadi hiyo kubwa ya uagizaji wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sahihi kabisa. Muhimu ingekuwa kupitia stendi ya Magufuli baada ya kupakia abiria kutokea popote. Imagine watu wanatoka Kigamboni kuifuata stendi ya Magufuli. Ni ujinga. Isitoshe ni matokeo ya kutokuwa na Mipango Miji endelevu katika jiji la Dar es Salaam. Wamei-dump Kigamboni City baada ya JPM...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Ni ujinga unamsumbua. Ameshindwa kushughulika na utiririshaji wa maji ya chooni na kinyesi cha binadamu unaofanywa na Hospitali ya serikali ya pale Mbagala Zakhem kwenye mitaro kuanzia Mbagala Zakhem pembeni mwa Dar Live kuelekea Corner Bar na Kiburugwa Inn mpaka kwenye makazi ya watu ataweza...
  9. T

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii Inaonesha Lissu Kajikatia Tamaa Kabisa na Kuvurugwa akili. Jela ni Mwalimu Hodari asiyefelisha Masomo Yake

    Ikiwa ni pamoja na Polepole wakati wa JPM. Mzee wa VIEITE.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Redio Tumaini - Kweli Mnatuboa

    Wewe ndiyo hujui nilichoandika.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Redio Tumaini - Kweli Mnatuboa

    Kwa bahati nzuri leo nimesikiliza kipindi cha Redio Tumaini cha Dukuduku. Nimependa dukuduku kuhusu watangazaji wa Redio Tumaini. Watangazaji wameifanya Redio igeuke kituko kama siyo Redio ya Kanisa Katoliki. Hata mkurugenzi wa Redio Tumaini hana habari kinachoendelea. Pamoja na kuchangisha...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

    Hao wamelala usingizi wa pono mpaka wapate maelekezo kutoka mawinguni.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini waislam wakiwa wengi sehemu fulani wanapenda kulazimisha dini nyingine kufuata taratibu zao na wapo tayari kudhuru wasiofuata

    Jiji la Dar es Salaam halikuzuka tu. Zamani ilikuwa ni vijiji vya wavuvi na vijiji vya wakulima wa minazi, mahindi, mihogo, mpunga, mikorosho n.k. Unapopaona leo ni uswahilini ndiyo Dar es Salaam yenyewe ya vijiji. Ambako siyo uswahilini yalikuwa ni mapori hata kulima hayakufaa hata kidogo kwa...
Back
Top Bottom