GE2025 Lissu ni mtu na nusu

GE2025 Lissu ni mtu na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na uhakika 💯, mama amezungukwa na vilaza wanaomshauri, yaani hii move ya kumfunga Lissu Jela ilikuwa wazi kabisa unamuinua kisiasa, na imeonesha jamaa ana hatarisha maslai yao, hivyo akitoka Jela atakachokuwa anaongea basi kitabebwa kwa uzito na umma wa Watanzania. The biggest political mistake
Lissu miongoni mwa best students kitivo cha sheria UDSM
Tundu Lissu ni Ilboru moja! Tena Ilboru ile ya zamani! Hakika huyu jamaa ana akili nyingi san
 
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.

Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.

Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania.

Ni mawazo tu.
Lissu ni mwana mabadilio wa kweli yule ndio kiongozi wa kweli

Mm nasubiri yy kuwa rais tuu
 
Huyu jamaa anawahangaisha sana CCM. Amekula chuma nusu kufa,
Amepigwa kesi ya uhaini,
Anaongea ukweli bila kupepesa macho.

Haogopi kitu chochote na yupo tayari kwa lolote muda wowote,
Kikwete amewahi kusema bora Slaa awe rais kuliko Lissu kukalia kiti cha ubunge.

Huyu jamaa siku akihukumiwa kunyongwa ndio itakua siku ya mageuzi ya Tanzania.

Ni mawazo tu.
Wako wengi ila tu wewe ndiyo hujui.
 
Back
Top Bottom