Recent content by Third eye judge

  1. Third eye judge

    Dkt. Godwin Mollel: Watanzania tufuatilie anachokisema Profesa Janabi

    Prof Janabi anakitu, ila wachache labda kwa kutokujua wanaweza wasimwelewe. Wengi watu maaeufu kwenye mitandao hawajiineshilakini inawezekana hata majumbani mwao wanawataalam wa Tiba lishe/asilia kwani ndio asili ya mwanadamu na Tiba yake haiachi chemicali za simu mwilini. Hapa Mh Raisi...
  2. Third eye judge

    Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

    Prof Janabi anakitu, ila wachache labda kwa kutokujua wanaweza wasimwelewe. Wengi watu maaeufu kwenye mitandao hawajiineshilakini inawezekana hata majumbani mwao wanawataalam wa Tiba lishe/asilia kwani ndio asili ya mwanadamu na Tiba yake haiachi chemicali za simu mwilini. Hapa Mh Raisi...
  3. Third eye judge

    Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Hapa Kuna mkoloni mjerumani na muingereza eti.... 🤣🤣. Nimecheka sana
  4. Third eye judge

    Machache niliyogundua kuhusu wanawake kwenye mahusiano

    N Namba 8 ni halisi? Unawezaje kuishi na mtu awaye yote bila huruma. Basi hutaweza kuishi nae Kwani no one is perfect isipokuwa tunaangalia ni nani utaweza kuendana nae kulingana na machaguo Yako, hata unavyoacha Hela ya matumizi asubuhi ni huruma. Na mara nyingi point hii huzungumzwa. Uhalisia...
  5. Third eye judge

    Msaada: NMB Mkononi App inanigomea

    Thanks,, suluhu hapa yaweza kuwa Nini mkuu
  6. Third eye judge

    Msaada: NMB Mkononi App inanigomea

    Kwangu inaleta hivi kama hapa chini
  7. Third eye judge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    B9FA3EB bp,, edit na utupie tena .
  8. Third eye judge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukiweza kutengeneza mech 18 zenye ods angalau 1.09 na mech 5 za gg zenye odds angalau 1.5 unapata mech 23 total. Odd jumla zitasoma arround 200+ na stake ikiwa angalau 2000 unaweza kuwin laki 5. Sasa ishu sio kipata mech 18 zenye odss 1.09, ishu Ni Hapo Kwenye mech 5 zenye odss angalau 1.5...
  9. Third eye judge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mansfield loss by 0-1 , fiorentina loss by 1-0,, jau sana.
  10. Third eye judge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    12 wins,, 2 lost,, Niliingia kuchambua games zote zilizoloss naona imetokea bahat mbaya tu. Jukwaa linavichwa hili asee. Big up [emoji123].
  11. Third eye judge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    934AF63 bp today 24 matches . 44 odss. Edit,edit. And share please.
  12. Third eye judge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    7BEAA78 edited. 2.B66ED16:: 8 odds bp
Back
Top Bottom