Recent content by ThinkPad

  1. ThinkPad

    Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Hivi hiyo pesa unayolalamika ya mtoto wako ya mtihani ata kama anafanya kila siku unajua adha ya kufundisha wewe?
  2. ThinkPad

    Wafanyabiashara wasioboresha Mashine za EFD kuchukuliwa hatua

    Mfumo wa zamani, Naamini hawajautumia asilimia japo 20, Wana Uleta Mpya wataweza kweli au ndio kufaidishana.
  3. ThinkPad

    Mh. Rais sitisha ujenzi wa stendi za mabasi ya Nyamhongoro na Nyegezi Jijini Mwanza

    Siamini hata kidogo kama ushauri wako uliwekwa kapuni.... Inasikitisha ila Oportunity ipo kwa Magu waweke stend Kisesa uone kama hawato wapiga bao buz na nyegezi tena waweke stend ya kawaida sana tu, ila ziwepo buss za Dar na Mara.
  4. ThinkPad

    Fuso lakamatwa likisafirisha sampuli za madini ya dhahabu!

    Najiuliza tu, WALIPO LIKAMATA hilo FUSO hawakuambiwa hizo ni sampuli? Iliwachukua siku ngapi kuwasaliana na GGM ili wajue kuwa hizo SAMPULI zipo kihalali? Je hawakuonyeshwa kalatasi au uthibitisho kama zinapelekwa Laboratory? Je ni kwamba hawaifaham SGS na KAZI inazozifanya? Vitu vya namna hii...
  5. ThinkPad

    Tundu Lissu: Kijana wa Chato amekamatwa kwa kumkosoa Prof.Kabudi na timu yake ya makinikia

    HIVI kwani ukiandika comment kwenye FB, UKISHAURI viongozi wako bila kukashfu au kutukana utapungukiwa nini? Kwani kuwa kamanda ndio ticket usiwe na adabu kwa viongozi?? YEYE MUNGU WAKE ATAMSAIDIA HAKUNA NAMNA. Watu wanaumiza vichwa ili nchi yetu isonge mbele yeye analeta utani anategemea nini...
  6. ThinkPad

    Muda mwingne bora kuwa single kuliko kuwa na mtu asiyekusikiliza

    Wewe unapaswa ufahamu Nature ya Mwanaume, Mme ni Kiongozi wa familia me aamajukumu makubwa sana kukulinda mke na Watoto sasa unapaswa kujua. 1. Mme hapendi MAKELELE NA UBISHI, Wewe ukipaswa kumshauri mme unapaswa kupresent as suggestion tu haupaswi kumpangia, Alafu akikasilika wewe lazima ushuke...
  7. ThinkPad

    Kulikoni Bombardier yetu inazunguka zaidi ya saa uwanja wa ndege

    kati ya watu wanne mmoja ni kichaa, usishangae maana kuna watu wanapondo hizo ndege wakati ni za nchi yetu. Huyo mtu mmoja anaye ponda kati ya wanne hana ata passport. so usiumize kichwa wakati takwimu ilishatoka
  8. ThinkPad

    Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

    DuH! Sisi wabongo kwa UnafiKi HatuJambo KabisaA hUU ni Unafiki UlioPitiliza Sasa hivi mnaanZa kumsifiA Jk kwa kauli mOjA na Mnaanza KuPonda Mazuri SaNa aliyo YaFaNyA Magufuli WeTu sisi NdiO maaNa huwa Ni WaChAwi kwa tabia hii lazima tuwe wachawi na sikuzote wachawi hawaendelei...... Raisi wetu...
  9. ThinkPad

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Kiuongozi anapaswa amtie.moyo mwenzake ili watuletee maendeleo. Unajua tupo nyuma sana sana yaani hapa inapaswa kila kitu kistabiliziwe mfumo wote aalafu na isiwe taratibu yaani inatakiwa faster maana tupo nyuma mno watoto wetu wasije teseka aaisee. So hiyo.kauli ni nzuri.na.ni yaakumpa moyo...
  10. ThinkPad

    Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Ila wewe mtani mjing..a sanaa wewe. unapima uwepo wa Mungu kwa kakitu kadogo kama hako. Any way mtani Mungu yupo ndio maana dunia inaazinguka bila winding, bila flow of electrons. Ndio maana jua mwale wake haupungui wala auongezeki wakati hakuna mtu anayeenda kuli FUEL ili lizidi kuwa...
  11. ThinkPad

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Msipende kutafsiri vitu negative jaribu na positive. Unajua Rais WETU hapendi UJINGA kama mtu hawezi kufanya kazi anavyo paswa akigundulika kwake huwa DAKIKA TANO NI NYINGI Kutake action na sio kupoteza muda . Tulikuwa mbali tunapaswa kunyooka.hii ni.faida kwa watoto wetu
  12. ThinkPad

    Elizabeth Asenga afikishwa mahakama ya Kisutu kwa kumtukana Rais Magufuli

    Adhabu inayotolewa ni ndogo ndio maaana kila kukicha tunatukaniwa Rais. Ukimtukana Rais wangu sawa umenitukania baba angu aisee hilo hata Mungu kasema tuheshimu mamlaka.
  13. ThinkPad

    Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

    Naomba Mungu iwe kweli, Walimu ni kitu muhimu sana nchi yoyote, mwalimu akisema wanafunzi tutengeneze sanaa za helicopture watoto wetu wazitengeneze wakiwa watoto na sio wazee. wakiwa wakubwa watengeneze helcopture kama za kawaida na bora zaidi. walimu ndio nguzo ya nchi.
  14. ThinkPad

    Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.

    EEEEh, mbona hii ni issue yakawaida sana. mbona wezi wa tanzania huwa wanabebeshwa mabango na wanapigwa picha huyo wa kenya si ni mwisi kama aiba akuje na abebeshwe mabago maana yeye yuko mwisi na watu ya kenya waone kuwa mtu yao ni mwisi. Hakuna uzalilishaji hapo alicho fanya ni wizi kutoka...
Back
Top Bottom