Recent content by Thinker96

  1. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Tukae upande wa "Ceteris Paribus", Sijui tunaruhusiwa

    Chaguzi za kidemokrasia zimeanza 1995 na zitaendelea ila ushindi mkubwa katika historia mpaka wa leo ni 2025 kwa aslimia 96.7%. na walioshindwa ni asilimia 3.3%. Kwa akili za wataalamu wetu wanaotuaminisha:- 1) Kulitokea mpango wa vurugu za mapinduzi yaani hiyo asilimia 3.3% ina mwamko mkubwa...
  2. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Kwa waziri (serikali), na raia - uhaba wa mafuta ya kupikia

    Wasalaam watu wa Mungu, Pasi na kuchelea twende sanjali kwenye mada. Uhaba wa mafuta ya kupikia kero ya miaka mtawalia. Ni fursa ya uwekezaji kwa biashara ya muda mrefu hata kwa mtaji mdogo au mkubwa. Mchanganuo. Mahitaji ya mafuta Tanzania kwa sasa ni 600,000MT na uzalishaji ni ~200,000MT...
  3. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Nchi inapochafuka Amani inatakiwa kutangulia ndipo ifuate HAKI

    Simple logic ipo hivi Amani ni tunda la Haki, Tunda haliwezi kutangulia kabla ya mti. Yaani kwenye hayo machafuko unayoyatolea mfano ni kwamba itaanza haki ya kusikilizana ili muipate hiyo amani.
  4. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Kila kiongozi hasa anayetumia sera kwa kuwashawishi watu mara nyingi lazima atumie njia moja wapo ili kupenya kwa sera zake kwa umma ni nadra sana wakatumia ukweli pekee ili kupenysha sera kwa umma.
  5. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Usalama wake ni huu hapa, waliokaribu naye wamfikishie

    Kuna gari linavifaa vya Electronic Counter Measures mpaka drone inasogelea wahusika wa mawimbi watakuwa wapi? Mwambie muuza kahawa alete kahawa ya mia hivi vitu vipo lakini sio rahisi sana kama inavyowazwa najua mtaongelea ile ya Benjamin Nethanyau
  6. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Nepal na Madagascar kote huko walifanya agenda setting yaani hao wanaharakati walileta agenda mbadala zilizowatoa watawala kwenye utawala na kuingiza utawala mpya yaani yale matakwa ya hawa wapya sio kwamba yanawezekana la hasha ila wamemanipulate agenda za serikali iliyokuwepo na kuleta agenda...
  7. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Mkuu, Wanaharakati nao kweli wanashere huwa wanachezeshwa na wakikaa vibaya wanacheza kweli lakini pia hata wasio wanaharakati watu wa kawaida wakiinua hisia kali zenye kuleta uhatari kwenye usalama mwendo ni lazima njia moja itumike hapo ili kuwadhoofu mfano ukikumbuka kipindi cha nyuma...
  8. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Sawa Mkuu hao watu smart wapo nchi gani tunaweza kutafutiza na mifano yake huenda tukapitia hata mafaili kama ya Panama Papers, Snowden leaks, Mar-a-Lago tuangalie hao na usmart wao walihandle vipi kwa kukwepa Persuasion.
  9. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Kwa maoni yangu binafsi ni kwamba lile suala lilikuwepo la GenZ pale kwake na hasa lilipinga fiscal policy(treasury bill) ambazo zilikuwa zipitishwe na Bunge na zingewaumiza wafanyabiashara wakubwa na raia wa kawaida ila lingeimarisha serikali ndo maana ingawa hawakuwepo viongozi wa kuonekana...
  10. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Mkuu ukipigwa "Persuasion principle" vizuri unatoka kwenye reli kabisa na unakuwa mkali Wakikamata angle ndogo kabisa hizi kwa kuanzia:- Nini unaamini? Kwanini unaamini huko? Kipi unaogopa kupoteza?
  11. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    Mkuu kuna point hao unaowaita wa huni wanakamata hisia zako na unakuwa mkali kabisa
  12. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    "Intelligence Spinning" Ni uwasilishaji wa taarifa za kiintelligensia kwa namna iliyopindishwa kwa maslahi ya umma au viongozi. Yaani kuna taarifa ni kwa ajili ya kuubhagaza umma ili uamini kitu na pia kuna taarifa nyingine zinabhagaza viongozi ili waone wako sawa na salama. Taarifa...
  13. Thinker96

    JamiiForums Tanzania "Hii siyo shida?"

    Nashukuru Mungu wa Mbinguni, kwa kutufanikisha kufika mwaka huu wa 2026. Ahsante. Waheshimiwa kitu kinapokuwa adimu ndipo kinapokuwa na thamani na pia kinaondoa migogoro kwa kuwa ni adimu. Mamlaka ya uongozi hayaruhusiwi kumwazima au mtu mwingine awaye yote kujivika mamlaka ya yako na...
  14. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Wachina wataiendesha reli ya TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo kwa serikali

    Hii reli tungeiunga kwa Lobito Corridor/ Beunguela tungeweza kupata $30Mil mpaka 50Mil kwa mwaka sema tungepiga na kazi nyingine na uendeshaji na umiliki ungekuwa juu yetu yaani kulipa wafanyakazi na ufundi. Ila pia ile ilikuwa ni program ya Marekani na tofauti yake na China ni kwamba huwa...
  15. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Kunyamaza kwa Samia Suluhu kumepunguza kwa sehemu kubwa hekaheka mtandaoni

    WaTanzania tujifunze kitu na kwa umakini sana kama kuna sehemu kuna makosa yarekebishwe haraka iwezekanavyo tusitafute vichaka vya kujifichia ila turekebishe. Mauaji ya Kimbali yalianza kutoa harufu yake miaka ya nyuma 1960's lakini yamekuja kutokea miaka zaidi ya 30 mbele ... Kwa hiyo hapa...
Back
Top Bottom