Recent content by thinkamos

  1. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Boomplay na music

    Hakika hii ndio best app kwa music. Inatoa bonus, na reward pia unapata. Kama airtime. [emoji1] [emoji1] [emoji2] nan kama BOOMPLAY???
  2. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Sana'a mpya hizi wewe
  3. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Very interesting & meaningful

    Think again into other way. New think and great you will make
  4. thinkamos

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wanaume mnapenda Mwanamke mwenye Umbo gani? Mwanamke unapenda umbo gani?

    Umbo lako ndo poa
  5. thinkamos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HATUNA TENA WAKE/ BORA KWA SABABU YA UTANDAWAZI TUFANYEJE SASA

    Kuna uhitaji wa kuchukua hatua kama jamiii imejiridhisha na tabia yao mbaya???
  6. thinkamos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HATUNA TENA WAKE/ BORA KWA SABABU YA UTANDAWAZI TUFANYEJE SASA

    TUFANYEJE mkuuu mkuu kuwafanya wote wawe wake bora!!!
  7. thinkamos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HATUNA TENA WAKE/ BORA KWA SABABU YA UTANDAWAZI TUFANYEJE SASA

    Tabia zetu mbaya za kupendezwa na mambo mabaya tunazimalizaje ????. Kwa sababu tunatumia kigezo cha utandawazi kufanya maovu ni nini hiii??. Kwa wake/waume wa karne hii ya 21???
  8. thinkamos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HATUNA TENA WAKE/ BORA KWA SABABU YA UTANDAWAZI TUFANYEJE SASA

    Habari? Nimefungua Uzi huu kuweza kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea juu ya WANAWAKE WETU NA UTANDAWAZI, Neno utandawazi simu hizi limekuwa kama sehemu yetu ya maisha UTAKUTA ""' Mbona hivyo"'' kwa majibu rahisi kabisa zama zimebadilika Na kuendelea kuchekaeana tu...
  9. thinkamos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya Wanawake kutodumu katika Mahusiano ya Mapenzi na ndoa siku hizi

    Utandawazi ni MIONGONI MWA MAMBO YALIYO HARIBU WANAWAKE WETU. Lakin haitoshi kusema utandawazi. Kwa sababu wanawake hawa wamepata kubadilika kwa sababu yetu sisi wanaume pia. MWANAUME HUNASAUTI KWA MKEO/MCHUMBA WAKO. AKÍONACHO na kukifanya nibpoa tu kweli. Tunasemaje utandawazi wakati hatuwezi...
  10. thinkamos

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

    Unawezaletewa kwako ulipo?
  11. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Wakati ukiwa na mawazo ya biashara, Jaribu kuangaalia hata mkopo kwa kutumia simu zetu

    Lakin hii inahitaji kuwa na tigo tu sasa. Na kwa wale tusio na lain ya tigo he tuna fanyeje
  12. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Wakati ukiwa na mawazo ya biashara, Jaribu kuangaalia hata mkopo kwa kutumia simu zetu

    Kama wanajamiiforum wenzangu tuwe pamoja katika Uzi huuu wa fursa na nzuri za kupata mitaji na kukuza biashara yako. Ama kuangalia sehemu inayoweza kukunyanyu kiuchumi. Na kukutoa katika shida. Tupia fursa yako hapa
  13. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Wakati ukiwa na mawazo ya biashara, Jaribu kuangaalia hata mkopo kwa kutumia simu zetu

    Wakati mwingine Mimi kama kijana huangalia mikopo kwa kutizamaa fursa iliopo wakati ule ukizingatia kiwango cha pesa niliyonayo. Hushindwa kusaccess kwa sababu tu ya mtaji ila Marengo yangu so kill eza hata
  14. thinkamos

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze ujasiriamli nikiwa chuo

    Maalifa safi kaka nimeyaelewa sana aisee
Back
Top Bottom