Recent content by Thidanganyiki

  1. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Kutengwa kwa Mkoa wa Kigoma sasa basi, Rais Dk. Samia sasa anafungua Kigoma

    Nimeshangaa kuona eti wanajenga vibanda pale maeneo jirani na shule ya Ujiji Sekondari wakati kule Stand walipohamishiwa bado kuna vibanda vingi sana havina watu. Nashauri vile vibanda vibomolewe na wale wanaotaka kujenga pale walazimishwe waende kule Masanga Stand Mpya wakajazilie zile nafasi...
  2. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na wakushi ambao hutumia uchawi/mazingombwe ya kumtemesha mtu nywele na kucha

    Hii stori na mimi ilishanitokea na mtiririko wake unafanana na huu 100%. Kwangu walipita njia zote kama walizopita kwako. Tumetofautiana tu hapo kwenye aina ya matatizo waliyoyaona baada ya kuwaonesha kiganja. Moja ya kitu kilichonifanya niwaamini ni pale nilipowapa kiganja na kuniambia "dooh...
  3. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

    Kapanda Bajaji kutokea mjini hadi Ujiji anakwambia Kasulu kuna hoteli nzuri kuliko Kigoma Manispaa[emoji1787][emoji1787]. yani hawa huwa wanapita kwenye barabara kuu tu kisha wanaanza kutoa hukumu. Au wamekariri mpaka waone Magorofa. Hakuna sehem nzuri yenye nafuu ya chakula na mazingira...
  4. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa vidonda vya tumbo

    Bamia unazichemsha kisha unakunywa maji yake ama unakula Bamia zenyewe? Msaada kidogo hapo tafadhali.
  5. Thidanganyiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi unakimbiza mbaya!
  6. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani ulifanya shule ya msingi ambalo hadi leo hii unalikumbuka

    Tulimuwekea mwalim upupu kwenye kiti chake.
  7. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    Laanatullah!! Laana za M Mungu ziwe juu yako
  8. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

    Nani kakudanganya! Maji ya Ziwa Tanganyika ni Fresh unaweza hata kunywa.
  9. Thidanganyiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Simba, Yahaya Akilimali afariki dunia

    Mazishi ni kesho saa 10 Alasiri
  10. Thidanganyiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Simba, Yahaya Akilimali afariki dunia

    Aliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma. Mazishi yatafanyika leo nyumbani kwao Ujiji Kigoma.
  11. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona maji ya Uhai, Afya au Pangani hayanywewi kwenye hafla kubwa? Maji ya Kilimanjaro yana nini?

    1. Dew Drop 2. Cool blue 3.Udzungwa Hakuna maji kama hayo kwa Bongo! Pia haya maji ya Cool Blue sijui kwanini hayapatikani sehem nyingi hata kwa Dar kuyapata ni shida!!
  12. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Ni Mikoa au Wilaya gani za Tanzania ambazo zinatia huruma kwa kuwa nyuma kimaeendeleo?

    Nani kakuambia Kigoma ni mkoa masikini?!!! 1. Ulishawahi kuskia Kigoma ina njaa? ( kumbuka kuna mikoa huwa inaomba msaada wa chakula, Kigoma haimo ). 2. Kigoma ina neema tele ikiwemo ardhi yenye rutuba, Mito na Maji. 3. Kigoma kwa sasa ni miongoni mwa mikoa michache yenye hoteli nzuri za...
  13. Thidanganyiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msitegeeme sana hizi faini kila siku ipo siku mtazirudisha CAS FIFA

    Walifanya makosa au hawakufanya? Mashabiki hawakurusha machupa? Tim hazikuwekewa mlango maalum wa kupita ila wakakaidi na kupitia mlango mwingine? Viongozi wa tim hawakuwekewa mlango maalum wa kupita ila wakakaidi na kupitia kwenye mlango wa tim? Morrison hakuvua nguo? Mukoko hakumpiga mwenzie...
  14. Thidanganyiki

    JamiiForums Tanzania Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Gari ni sehem ya baadhi ya mali japo haijafahamika kama walikuwa na nyumba
Back
Top Bottom