Recent content by thezila

  1. T

    Kwa Wale Waliopitia Dakawa High. School

    umesahau vazi la suti kama bungeni vile
  2. T

    Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la kibenki

    Nimtumishi wa umma nilikopa bank NMB cha kushangaza bank wanakata pesa yao lakini ktk salary slip makato hayo hayaonekani nifanye nn?
  3. T

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Asante sana kwa ushauri wako mzuri.
  4. T

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    habari wapendwa!kwa anaefahamu dawa ya UTI anisaidie kwani ninasumbuliwa mara kwa mara.
  5. T

    Nisaidie maana ya haya maneno

    wapendwa mwenye uelewa tofauti ya decolonization,nationalism,mass nationalism
  6. T

    Nisaidieni mwenzenu

    asante!
  7. T

    Nisaidieni mwenzenu

    habari wapendwa,naomba msaada wa kina nimezaa na mwanaume matarajio ye2 ilikuwa 2funge ndoa lkn haikuwa ridhki amefnga ndoa na m2 mwingne pacpo kunijulisha kwa sasa mtoto ana miaka 3 hvyo anahtaji ma2nzo je nifanye nn kwan kila niwaclianapo na mzazi mwenzangu hat cm hapokei ni...
  8. T

    Jamani naomba mnisaidie kwa hili

    Wapendwa niko njia panda nilizaa na mwanaume lakn amefikia hatua ya kuoa bila kunitarifu kinyume na makubaliano ye2,kwa ss mtoto anahitaji ma2nzo pamoja na shule je nifanye nn ili huyu mtto apate haki zake za msingi?kwan baba yke yko hai na nimuajiriwa sekta bnafsi
  9. T

    Msaada jamani

    yuko kada ipi?kama ni mwl hadi mwka mmoja au apate TSD namba
  10. T

    Hivi siku hizi mashuleni kuna walimu wa nidhamu?

    hata kama kuna mwalimu wa nidhamu atasaidia nn?nidhamu ya mwnafnzi inaanzia nyumbani hvyo msitupe lawama kwa walimu.
  11. T

    mwanaamke kutopata hedhi atumiapo sindaano za uzazi wa mpaango

    mh!ss endapo nimeacha ili nipate hedhi ndo niendelee na kuchoma sindano cwez pata mimba?na je ni2mie nn ili nipate cku zangu mapema?
  12. T

    msaada

    Habari wana jamvi,naomba nisaidiwe kuna madhara gani kujamiiana na mwanaume ambaye hajatahiriwa?
  13. T

    Nahitaji ushauri

    asanten kwa ushauri wenu,4sure ilifikia ha2a nilgoma kutoa akaniambia anaenda shle 2dgree then nani atam2nza mtt?nilimjb Mungu ajua yani ndani hapakutosha ndani ya miezi 6 hakuna maelewano Mungu alnisaidia nikajfungua salama but mpaka ss hachangii chochote na kila niombapo msaada hujibu hali...
  14. T

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    na endapo anatumia dawa za uzazi wa mpango unamsaidiaje?
Back
Top Bottom