Nahitaji ushauri

Nahitaji ushauri

Munkari..mimi nimeshuhudia watu wengi sana wa aina hii..unajua wanaume wengi wakiwa na girlfriend kutimia kinga ni big no,sasa mtu akipata mimba anamwambia atoe tena bila huruma..na sikufichi wasichana wengi akikaa na mtu 3yrs anajua ndoa tayari..sasa kama mtu hana muda na wewe anaonekana mbona tatizo watoto wa kike tunajipa moyo atabadirika tu.nadhani ndio kilichomtokea huyu dada..

yani mi namwonea huruma coz anaharibu kizazi chake mwisho wa cku anaachwa soremba na huyohuyo! Mapenzi mengne yakitumwa zaid!
 
yani mi namwonea huruma coz anaharibu kizazi chake mwisho wa cku anaachwa soremba na huyohuyo! Mapenzi mengne yakitumwa zaid!

Ndio hivyo mbona huyo kaka anaweza akaoa na dada akakubali kuwa kimada..kuna mdada mnilifanya nae kazi alikuwa na boyfriend long tyme,akaenda ulaya sasa akapata mtu anatoka nae.sijui nini kikatokea yule mpya ambae yuko bongo akaoa,lakini binti akuvunjika moyo bado wakawa wote na mkewe jamaa akawa anajua..baadae wa ulaya akarudi maskini akamuoa yule binti,eti kamkomoa yule mume wa mtu tukala na kunywa kwenye harusi.jamaa akaenda tena majuu maana ni raia huko si binti akaja akazaa na mume wa mtu na ndoa imevunjika..jamaa ajarudi tena toka majuu maana bibie ndio ameshazaa na jmaa na huku yuko na mkewe lakini binti ashtuki maana yeye alikuwa wake basi tu ajui ilikuwaje akaoa mwingine.ndio haya ya mleta uzi upo hapo munkari
 
Kumbe anakushauri utoe! Sasa huo ushauri huwa unaupokeaje, na umeshatoa?
 
miaka 6
hiyo tayari ndoa unataka ndoa nyingine ipi tena??
Jiachie We zaa tu
 
Huyu bidada hajibu kitu hapa! Mkuu kama unaudambwi-udambwi umwage tu!!

Inakuwa ngumu kumeza. Yaani wewe umeshauriwa utumie chandalua, halafu unaomba ushauri kwa kuwa umeshauriwa kutumia chandalua!! Labda kashalala ndio maana hajibu.
 
Dada kimbia hapo, utalia tu kila siku na mwanaume kama huyo. Utapoteza watoto wako wangapi kwa ajili ya mtu mkatili na mbinafsi huyo. Kama unajua Mungu yupo tafadhali ukatubu, mrudie Mungu. Mungu anasamehe dhambi,anaweza kukufariji na atakuondolea uchungu wote na kukupa mume wako. Achana na huyo mtego wa shetani.
Check ktk blog hii jinsi ya kuachana na hayo uwe na mwanzo mpya, post imeandikwa New Beginnings(mwanzo mpya) ladies
Www.centilicious.blogspot.com
Tafadhali usiache aendelee kukuchezea na uzao wa tumbo lako
 
Subiri adhabu yako kwa mw.mungu ya kuuwa viumbe vicvyo na hatia
Sote tumetenda dhambi wakati flani ktk maisha yetu, Mungu ndio mwenye kujua cha mhimu ni kutubu na sio kuhukumiana.
 
Akili zako ni za kushikiwa. Hili suala halihitaji ushauli kwani lipo ndani ya uwezo wako.
 
6years? boyfriend???
Hebu nisaidie kushangaa... Kuna mijike punguani kabisa.... Unatiwa mimba halafu unaambiwao ukatoe nawe unakubali.... BULLSHIT...

Kwanza 6 years siyo boifrendi huyo, ni MANIFRENDI BHANA....
 
Sote tumetenda dhambi wakati flani ktk maisha yetu, Mungu ndio mwenye kujua cha mhimu ni kutubu na sio kuhukumiana.
Tatizo lako hujui tofauti kati ya kosa na hukumu.... Kwa mfano, ukiambiwa wewe ni mwizi, hapo hujahukumiwa ila umetajiwa kosa lako, ila ukiambiwa kwa sababu ya wizi wako utaikwenda jela miaka kadhaa, sasa hapo hiyo ndo hukumu.

Na hili kosa hutendwa na wengi sana. Huyo mdada kuambiwa kutoa mimba ni dhambi hapo bado hajahukumiwa na yeyote ila katajiwa kosa lake... Hukumu atapewa na MUNGU, na Mungu ndo anajuwa hukmu ya kutoa mimba ni nini.
 
asanten kwa ushauri wenu,4sure ilifikia ha2a nilgoma kutoa akaniambia anaenda shle 2dgree then nani atam2nza mtt?nilimjb Mungu ajua yani ndani hapakutosha ndani ya miezi 6 hakuna maelewano Mungu alnisaidia nikajfungua salama but mpaka ss hachangii chochote na kila niombapo msaada hujibu hali mbaya.Je kuna haja ya kuendelea kumghasi?
 
How old are you?

Ninahisi akili yako bado haijawa pevu binti...

La hasha hata elimu yako ni ya ngumbaro...

Lea mtoto huyo kwa uwezo wako wote...huyo bwana hakuwa tayari kuiona mimba, unadhani atakuwa tayari kulea?

asanten kwa ushauri wenu,4sure ilifikia ha2a nilgoma kutoa akaniambia anaenda shle 2dgree then nani atam2nza mtt?nilimjb Mungu ajua yani ndani hapakutosha ndani ya miezi 6 hakuna maelewano Mungu alnisaidia nikajfungua salama but mpaka ss hachangii chochote na kila niombapo msaada hujibu hali mbaya.Je kuna haja ya kuendelea kumghasi?
 
Tatizo lako hujui tofauti kati ya kosa na hukumu.... Kwa mfano, ukiambiwa wewe ni mwizi, hapo hujahukumiwa ila umetajiwa kosa lako, ila ukiambiwa kwa sababu ya wizi wako utaikwenda jela miaka kadhaa, sasa hapo hiyo ndo hukumu.

Na hili kosa hutendwa na wengi sana. Huyo mdada kuambiwa kutoa mimba ni dhambi hapo bado hajahukumiwa na yeyote ila katajiwa kosa lake... Hukumu atapewa na MUNGU, na Mungu ndo anajuwa hukmu ya kutoa mimba ni nini.
Kwa hiyo kusema asubiri adhabu ni kumwelekeza dhambi yake?
 
asanten kwa ushauri wenu,4sure ilifikia ha2a nilgoma kutoa akaniambia anaenda shle 2dgree then nani atam2nza mtt?nilimjb Mungu ajua yani ndani hapakutosha ndani ya miezi 6 hakuna maelewano Mungu alnisaidia nikajfungua salama but mpaka ss hachangii chochote na kila niombapo msaada hujibu hali mbaya.Je kuna haja ya kuendelea kumghasi?
Achana na Hilo bomu, jitahidi utunze mtoto wako. Ila usisahau kutubu kwa yale uliyofanya hapo mwanzo.
 
Dah! Miaka sita ndani ya mahusiano! Na kila ukipata ujauzito jamaa anakwambia mkatoe!!! Nawe unakubali!!! Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na wewe kamwe hawezi kukushauri utoe mimba yake hata mara moja. Stuka binti jamaa anakula maraha yake tu akishakuchoka atakubwaga kama gunia la mkaa na utakuwa umeshapoteza miaka chungu nzima ya maisha yako na huyu mpumba--. Hustahili kuendelea kuwa na huyu baradhuli vinginevyo utaharibu kizazi chako kwa kutoa mimba kila mara. Pole sana.

Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo jamani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom