Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Naamini kuna wanasheria humu ndani ya jukwaa, jamani msaidieni huyu dada kwaniabaya mtoto. Pamojanawengine kuuliza kuzaa ndiokufunga ndoa,ikumbukwe kuwa( hata nany wanaimemnajua) jinsi wadada wanavyorubuniwa kwa staili yandoa. Anyway tuache hayo, bi dada nenda ustawi wa jamii watakupaushauri na msaada wa kupata matunzoya mtoto na kwa kuwa kishaamua kutokukusaidia usikubalu tena promises nyingine fuata sheria.
Kwa wadada jamani ni kuwa makini hasa, jihadhari kupata mtoto nje ya ndoa athari ni nyingi zaidi kuliko tunavyofikiria, wengine hudhani akiwa na pesa tu inatosha matunzo ni zaidi ya pesa. Japo mtu akiwa na pesa makali mengine hupungua, lakini athari za kisaikolojia nazo si za kuupuuzia. Utakuta wengine wanawalaumu watoto kwa tabia fulanikumbe chimbuko ni mtoto nje ya ndoa ameathiriwa na mitirirkoya psychological toucher za ndani ya nyumba, mitaani, shuleni etc. Wakaka nanyi mjiepushe kuzalisha kina dada hovyuo halafu kuwakimbia. Kimaumbile yenu mnaweza kupata watoto hata Mia moja, sasa chukueni tahadhari kwani uzuri tahadhari zipo jamani kwa nini hamzitumiii?????