Recent content by TheWiseMan

  1. T

    Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

    Kwakua umejibu kishabiki ni wazi umeamua kutotaka kujua ukweli wa kilichotokea na kinachoendelea mpaka sasa. Basi tusubiri matokeo siku ya jumatatu au jumanne.
  2. T

    Tambo za Mmasai. Dawa ya kuona kesho, je ni kweli?

    Umefunga PM chief, najaribu kutumia private message zinagoma. Anyway kama hutonali nitumie PM tujadili mawili matatu
  3. T

    Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Habari za muda. Ndoto yangu kuamkia siku ya leo inaanza najiona nipo na watu kadhaa tumetembelea pahala tutakuta tembo wakiwa wanachungwa (kama ng'ombe wanavochungwa). Na mchungaji alikuwepo (kijana mdogo tu) na fimbo yake pembeni, gafla wakatokea Simba wawili wakaja kuwararua wale tembo...
  4. T

    Character yupi wa Prison break alikuvutia?

    Theodore Bagwell (TBag)
  5. T

    Paul Mashauri, Amewaelezea vizuri Marehemu Mengi, Mufuruki, Chande, Musiba na Ruge

    @SankaraBoukaka unaposema kuweka watu kati una maananisha ni mjanja mjanja wa mjini?
  6. T

    BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Mkuu wewe NDIYO forex trader mpumbavu wa kwanza Duniani
  7. T

    GE2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

    Waliopo mitandaoni ndio wapo mitaani na ndio wapiga kura, au sikuhizi mitandaoni kuna majini na uraiani kuna malaika..!?
  8. T

    Chama kilichoshindwa kujenga Ofisi kinaweza kujenga nchi

    Unazungumziaje CCM waliojenga hekalu la ofisi afu wananchi ikiwemo wanachama wao wanakunywa maji na ng'ombe sehemu moja. Vp kuhusu wanafunzi wanaokaa sakafuni na wakat CCM ofisini kwao wameweka viti vya kuzunguka. Afu ulivo mvivu wa kufikiri nani alikwambia ofisi ndio ishara ya uongozi...
  9. T

    GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Kuna mpigaji nchi hii zaidi ya Mwenyekiti wa CCM TAIFA? Mwenye tuhuma za kupora nyumba za serikali, mwenye matamshi machafu kwa jamii. Fikiria hii sentensi "pipo yuzidi tudai ini ze leki". Huyu alietoa hyo sentensi ndio Genius wa chama chenu, ambaye mnaona anafaa kuwaongoza milele mpaka...
  10. T

    GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Ona ulivo mjinga, mbona sheria zipo wazi kabisa, kama chadema kingekuwa cha kisultan unadhani msajili angekuwa amekiacha mpaka leo bila kukifuta..!? Kuana kikundi dhaifu nchi hii kama CCM!? Katibu mkuu wenu kathibitisha mara nyingi jinsi mnavotegemea dola kubaki madarakani, utasema hicho ni...
  11. T

    GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Jiulize kwanini Waren Buffet anaishi kwenye nyumba alioanzia maisha licha ya kuwa tajiri wa tatu wa Dunia.
  12. T

    GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Umejawa na ushabiki na huijui historia ya nchi vizuri. Wakati nchi inapata uhuru, TANU ilikuwa na ofisi..!? Afu nani alikwambia ofisi ni ishara ya ukombozi au uongozi..!? CCM yenye ofisi nzuri Hapa Dodoma, hiyo ofisi yao imesaidia nini kutatua tatzo la ajira kwa hii miaka mitano..!? Hiyo...
  13. T

    GE2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

    Sawa, basi tulieni hivo hivo tupige kura na zihesabiwe bila kuchakachua muone kama CCM itapata asilimia 30
Back
Top Bottom