kweli naungana na wana JF kwa kumwambia rfki yetu kuwa hiyo kitu haisomi kilomita hivyo avumilie tu na pia ukiona demu wako anamegwa na rafiki yako ujue unao upugufu wa kummega haumtoshelezi ndo maana anatafuta tiba mbadala.
michelle hapo mambo poa mie nijuacho ni kwamba wasichana wengi wakiwa bed huwa wanajisahau, mwonyeshe mwanaume kuwa unaweza lkini ukilemaa harudi tena hivyo nawaasa dada zangu jitumeni vinginevyo hata mkiolewa mtaachwa ndani na mume atakwenda kutafuta amridhishaye
Kamarada umenifurahisha kweli kwamza umpeleke milembe hospitali ya vichaa, hiyo kali.
Mie ningemwuliza swali ili anipe jibu, kwani kutongoza ni kitu gani? akishajibu basi ndo mwazo wa yote ila ni kwa pale tu nipapendapo.
michelle unamsingizia kama hafiki ten minutes basi mgonjwa huyo kawaida ili wwe uridhike kabisa ina takiwa min 45minutes au one hr hapo kidogo utakuwa unamkumbuka otherwise utamkandia tu
Hauna haja ya kuomba yeye mwenyewe anajirengesha kwa vitendo vyake na maneno mpaka unaona sasa imewiza. Ukiwa unaomba unakuwa inaonyesha yeye hayuko tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.