.
1.HIVI KWANINI WANAUME WENGI HAWATAKI KUCHEZA UWANJA WOTE??.
2.WANACHEZA KARIBU NA GOLI TUU WAKATI UWANJA WOTE NI WAO.
3. RAFU?? OFFSIDE??, KUKABA PENATI?? MMMM. REFA WAPI??
4. WATAJIFANYA KUCHEZA MBALI KIDOGO YA GOLI LAKINI KUZUGA TUU DAKIKA MBILI WAMESHA RUDI TENA.
5. FULL KUKABA HAKUNA PASS WALA NINI??
.
Mpira ni magori, ndani ya kumi na nane ni rahisi kufunga gori.
maswali mengine kama ya mtihani ati .........haha
Kwenye goli ndio kuna utamu..
Nakwenye magoliKwenye goli ndio kuna utamu..
na kwanini goli likishataka kufungu wachezaji hua wanakosa muelekeo wana changanyikiwa kabisa, au ndo kelele za wa shabiki zinawazinguaga.
mams - habari ya Musoma?
Wa-Zanzibari walikuwa na msemo .."chenga twala..." Ball possesion haina maana kama hamna magoli ... Ndiyo maana hadi ushinde mechi lazima ujitahidi kuchezea kwenye 18 ya mpinzani wako muda mwingi!
unanikumbusha miaka ya mwanzoni 1990 matangazo ya mpira RTD chini ya Udhamini mnono wa Moproco Oil.... mtangazaji Mikidad Mahamud
" ...anakwenda na mpira....anakwenda na mpira....anakwenda na mpira... lalallalalalalalal...gooooooo hapana ni wakurusha.." teh teh
wengine robo uwanja tu, penaltiiiiiiiiiies!.
1.HIVI KWANINI WANAUME WENGI HAWATAKI KUCHEZA UWANJA WOTE??.
2.WANACHEZA KARIBU NA GOLI TUU WAKATI UWANJA WOTE NI WAO.
3. RAFU?? OFFSIDE??, KUKABA PENATI?? MMMM. REFA WAPI??
4. WATAJIFANYA KUCHEZA MBALI KIDOGO YA GOLI LAKINI KUZUGA TUU DAKIKA MBILI WAMESHA RUDI TENA.
5. FULL KUKABA HAKUNA PASS WALA NINI??
.
Huyo mchezaji atakuwa na mazoezi kiduchu pia stamina yake hafifu.