Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34, ninaishi Mbeya. Natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 30 hadi 34, awe mkazi wa Mbeya na asiwe na watoto zaidi ya wawili.
Awe tayari kuishi nami endapo tutafikiana.
Aliyetayari anaweza kuwasiliana nami kwa mazungumzo zaidi.
Habari wadau mimi nipo dar maeneo ya mbagala natafuta soko la kuuza kuku kwa jumla na rejareja kwa bei ya maelewano...tafadhali kama wahitaji naomba tuwasiliane kwa 0676040383
acha kulalamika nenda mpka stendi ya daladala hapo kariakoo subiri gari la mbezi ndo upande na nauli yake ni mia sita mpka mbezi,ila ukipandia njiani kabla halijafika stend ya kariakoo nauli yake ni buku,kiaje? nafafanua ukipanda kuanzia fire au bharessa kwenda kariakoo ni mia nne na si unaenda...
kesho kunategemea tena kuwa na mgomo wa madereva wa basi ya kwenda mikoani,.hizi ni habari za chini chini(hazijasambaa kwa watu ila madereva pekee ndo wanajua)
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24, nipo Dar es salaam. Natafuta msichana yeyote mzuri mwenye umri kati ya 18~24 kwa ajili ya mahusiano baadae ndoa.
Mwenye kuhitaji ani pm tupange yetu
Karibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.