Recent content by theROOM

  1. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa atofautiana na Makonda, ataka Magari ya Serikali yatengenezwe na TAMESA

    Kukarabati magari 10 kwa 1 Billion ??? Ni typing error, mmemnukuu RC vibaya, Au ni ushamba wangu kwa vile similiki gari??
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Eti alitoa kauli zinazoenda kinyume na falsafa na itikadi za Chama??? Kauli za kuwasihi watu wapendane, wavumiliane bila kujali itikadi zao, waombeane... Hakika sioni kosa la mtu huyu. Naanza kuamini katika Al badir.. Wallah
  3. T

    JamiiForums Tanzania Zitto, Kama unataka ACT kiwe chama cha maana, ni lazma ufanye hili.

    Huwezi kujenga chama au taasisi kwa kuwa neutral neutral.. Yaani huku upo kule upo. Hiki chama nakiona kama chama cha design hio.. Kinataka vyote, tena kwa mara moja. Kinataka kuonekana wapinzani na watawala at the same time. Kwa namna hio naona ni ngumu sana kukua. Popo ni Ndege au Mnyama??
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM kaeni Chonjo, mwanaume anakuja. Msikimbie chama chetu!

    Kwenye siasa mtu yeyote asie na aibu anaweza fit. Mtu yeyote ambae leo anasema hivi na kesho bila aibu anasema kinyume na anahitaji kuaminiwa na kupigiwa makofi.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

    Utapeli huu.. Hamna lolote hapo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    This is totally gambling.. Shame
  7. T

    JamiiForums Tanzania UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Bora, mi ntaweka vipazia.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Usahihi: Lissu anatetewa na Mawakili 18 na si TLS

    Nimekuelewa Mselewa.. Tuchape Kazi.. Hahahaha..
  9. T

    JamiiForums Tanzania Usahihi: Lissu anatetewa na Mawakili 18 na si TLS

    Majina ya kitumwa huwa hayana ubishani.. Peter na Petro ni similar.. Mselewa ndo stalibishia.
  10. T

    JamiiForums Tanzania RC Makalla aishangaa Serikali kuu

    Hahahaaa... Duh
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuchimbiwa kisima cha maji

    Musoma nani anaweza kufanya Kazi hio ya kuchimba visima?? Kama yupo ni-pm tafadhali
  12. T

    JamiiForums Tanzania Swali Pagawishi: Lowassa Angemuunga Mkono 2015 Tungekuwa Tunazungumzia Serikali ya CHADEMA/UKAWA?

    Joseph Stalin say, “…the people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything.”
  13. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumemtoa Mghwira ili kuondoa dhana kwamba ACT ni "CCM B", asema utaratibu ufatwe kwenye teuzi

    I am so lucky, I've never trusted ZZK n Co. I am neither surprised nor hurt by their actions.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea kuteua wapinzani bila kufanya "A" au "B"

    Magu usiondoe mguu... Kanyaga hapo hapo twende
  15. T

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Wakati Anna anateuliwa alikuwa nji za nje... Kamati kuu inakaa na kutoa tamko, Kiongozi Mkuu wa Chama yuko nji za nje... What a coincidence.. Hahhaha
Back
Top Bottom