RC Makalla aishangaa Serikali kuu

Serikali kuu imewashtukia hawa maRC wapiga pesa. Imeamua ipeleke moja kwa moja kwenye taasisi. Sasa kinachowauma ni nini hao wapigaji?? Kwani fedha zilizojenga hosteli za UDSM zilipitishwa kwa Bashite??
Bashite ndio nani tena?
 
Wakimaliza tunategemea iwe ni zaidi ya hostel za udsm kama kweli maghorofa yale kila moja lilitumia mil 500
 
Makala hajui kuwa hiyo ni campaign ya ubunge wa Tulia na ana baraka za mkulu. Atatumbuliwa asipokuwa mwangalifu
 
Amewadekeza baba yao mwenyewe ambaye akiwa nao anawaambia "ninyi ndio kila kitu, na kila mtu lazima aitike kwenu na kwa CCM, lazima mkifahamu kila kitu kinachofanywa na serikali, na anayeleta za kuleta mnyoosheni. Hata polisi wapo chini yenu"
 
Kwahiyo Makala yeye ndio mkali wa kusimamia kuliko wote,

Taa nyekundu ishamiwakia huyo ajiulize nikwanini hakuambiwa
 
mil 500 inajenga jengo la ghorofa nne Dar Es Salaam.....hapo hapo, 9.6Bilion, inenda kujenga nyumba za watumishi 13, mabweni 6, madarasa mawili na vyoo???? Hii nchi imejaa utapeli asieee!!!! Hizi kiki....zinawafanya msahau ya jana

Hahahaaa... Duh
 
Back
Top Bottom