Recent content by Thereni

  1. T

    JamiiForums Tanzania "Watanzania 40 milioni wanaweza kujenga barabara zenye urefu wa km 835(Mbeya-Dar) kupitia vitambulisho kwa mwaka 1"

    Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni tegemezi kwa maana watoto, wanafunzi, wazee, walemavu, na mafukara. Je hao milioni arobaini utawatoa wapi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    ,, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Uhitaji kiwanja Kisarawe

    Nina kiwanja nyuma ya Kisarawe. Junior seminary , kipo barabarani, hakijapimwa , 22M/22M 0783228998
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uchomaji wa kadi za CCM

    Zimeishachomwa, itakua imebaki yako tu!
  5. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Shuka nzuri mtumba grade 1

    Ndio; Hata DEKIO jipya ni nguo ILIYOCHAKAA. ......
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bei Za Viwanja Zanzibar

    Mtanganyika huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. Sasa wataka bei za nn?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa tiba ya kuongeza damu kwa haraka kwa njia asili

    Lishe bora pekee (Balanced diet) ndio itarudisha damu kwa haraka. Hakuna mzizi au gome la mti au mboga ya majani pekee wala tunda lolote peke yake lenye uwezo wa kurudisha damu bila kula balanced diet. Hivyo dawa pekee ya asili ya kurudisha damu ni kula mlo kamili/ balanced diet sababu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Hata mm nilitumia hizo dawa nikapona kabisa. Lakini kwa sasa vinajirudia rudia kwa sababu ya stress zinazotokana na kushabikia ARSENAL! yaani km jana usiku sikupata usingizi Arsenal ilipofungwa maana vidonda vilicharuka sana. Babu Wenger tuonee huruma mashabiki wa Arsenal utatuua kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania U.T.I sugu mwaka wa pili huu

    Ugonjwa wa zinaa huo ndio maana unajirudia rudia unatakiwa mtibiwe pamoja na mwenza wako. Pia uache kwenda buzz kwa buzz au mwenza wako anachepuka sana!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naumwa jino, msaada wa dawa unahitajika

    Matibabu ya jino lililotoboka ni kulitibu na kuliziba kwa dawa/cement/material sahihi ili kurudisha afya yake, muonekano/ form yake, uzuri wake na kazi yake!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nijiajiri

    Km unafanya usirudi nyuma acha kazi usimsikilize yeyote tena wanavyokua na wasiwasi na ww ukasimamia msimamo wako lazima utakomaa! Halafu nimekaa krb na watu wa painting na graphic design waliokua serious wote sasa wako vizuri ndani ya 5yrs tu, wanaocheza hawajaendelea lakini tunakesha nao bar...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kazi ili nijiajiri

    Kingine ulishawahi fanya hizo kazi siku za karibuni?
Back
Top Bottom