Bei Za Viwanja Zanzibar

mtanzania in exile

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
1,346
1,215
Habari za leo ndugu wote,

Naomba kuuliza wale wenye ujuzi na uzoefu wa visiwani zanzibar wanijulishe bei (average) za viwanja zilivyo huko zanzibar hususan katika maeneo kama Fuoni, Tunguu, Mwera, Maungani na Mombasa.

ahsanteni sana
 
Nami nahitaji kujua aisee, wenyeji mkuje mtusaidie
 
Unajua inategemea,Mombasa ni VIP zone,utaanzia 50m kwenda juu.
Na maeneo ya Fuoni pia yanatofauti,Kuna maeneo yanaanzia 4m na unapoikaribia barabara inafika mpaka 60m,similar to
Mwera,Maungani imepanda kwa kasi baada ya kutiwa lami,na mji mpya wa Fumba Town Project.
 
Shukrani kwa info hii. huwezi kuamini kuwa huko nyuma hakuna alokuwa anataka kuishi mombasa na sasa tunaambiwa ni VIP zone!!!!
 
Nikweli Mombasa ni VIP zone.
Ni sawa na ilivyokuwa Chukwani,pori ila sasa hivi bei mbaya sana

Hivi mshahara kima cha chini ni kiasi gani? Maana kwa bei hizo nimejikuta najiuuliza kama vipi wenye mshahara mdogo wanaweza kujijengea nyumba au kumiliki nyumba.
 
Mbona wao wanamiliki huku kwetu sehemu nyingi tu shida ipo wapi?

sijui kama kweli kuna sheria hiyo, huyo Thereni mie nahisi kama anataka kuleta ugomvi tu. hivi kwa nini watanganyika wasiruhusiwe kumiliki nyumba zanzibar wakati watu kutoka nchi za nje tele wana mahoteli na holiday houses huko zanzibar? does this make sense to any one? Kama ni kweli ipo hiyo sheria basi ni kichekesho kikubwa mno cha muungano.
 
Back
Top Bottom