Recent content by ThePromise

  1. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Pads

    Mh!haya makubwa sasa!kumbe kutoka damu nyingi nao ni ugonjwa?kwani kulikua na tofauti kati ya siku za mwanzo(wakati ndo unavunja ungo)na kipindi hiki kabla hujazitumia hizo pads?
  2. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya Nundu

    Khe!inamaana humu ndani hakuna mtaalamu wa hilo?mbona hamumjibu mwenzenu?
  3. ThePromise

    JamiiForums Tanzania nipepo kaniingia au nn?

    Amejitoa muhanga kwa zumbukuku!
  4. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    the same goes out to men also,wanawake pia wasikubali kuolewa na wanaume wenye hizo sifa.
  5. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Mme wa mama Nyerere.
  6. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    Raha ya kujikuna uwe na kucha!
  7. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine wazazi tunajitakia,...,,!!!

    hapo chacha!
  8. ThePromise

    JamiiForums Tanzania masai na dereva

    ha ha haaaaa!wamasai nao kama bushmen wa the gods must be crazy!
  9. ThePromise

    JamiiForums Tanzania masai na dereva

    uwiii mbavu zangu jamani!
  10. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Vunjambavu Vunjambavu Vunjambavu

    waambie wakate 150 ndo watakujibu mkuu!la sivyo utasubiri wee hapo hadi uote nyasi!
  11. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Tabia za akina dada zinazonikera!!

    Thanx madam!!!
  12. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Namna ya kurusha ndege....

    Akapigie misele baharini.
  13. ThePromise

    JamiiForums Tanzania The Mathematician and women!

    Nilijua tu ni hii!
  14. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    zitaenda wapi ndugu yangu?bado zipo tu,sema ye hawezipata ajali si apita katika msululu na anaongozwa na king'ora cha polisi mbele!
  15. ThePromise

    JamiiForums Tanzania Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    Bora atatumia muda mwingi ardhini kuliko angani!
Back
Top Bottom