Hapo nilipoweka rangi nyekundu ndio jibu la tatizo lako. Vile uko tayari kuvumilia wewe vumilia tu hadi utakapochoka.hata kama ni kupenda mwenzenu nimepitiliza, nampenda hajal hisia zangu nampigia cm hapokei wakat mwingine anajib im tired nataka kulala, nimeamua kukaa kimya labda atanitafuta kimya wiki sasa hajanitafuta zaidi ya leo kanisms hi! nifanyeje nimejarbu kujizuia nahisi nateseka sana juu yake nampenda haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana. ushaul jmn
hata kama ni kupenda mwenzenu nimepitiliza, nampenda hajal hisia zangu nampigia cm hapokei wakat mwingine anajib im tired nataka kulala, nimeamua kukaa kimya labda atanitafuta kimya wiki sasa hajanitafuta zaidi ya leo kanisms hi! nifanyeje nimejarbu kujizuia nahisi nateseka sana juu yake nampenda haijalish hata tuwe folen kama NMB, nitavumilia sababu nampenda sana. ushaul jmn
nahisi nimerogwa kuna wakati nafuta namba yake lakin naitafuta tena mimi mwenyewe daaah!!!!
Mapenzi ni upofu ndio sikatai but kuna mazingira other organs of sense zinakua more active,kuona usione hata kusikia pia usisikie?acha kupenda kizembe wewe!:yell:nahisi nimerogwa kuna wakati nafuta namba yake lakin naitafuta tena mimi mwenyewe daaah!!!!
Amejitoa muhanga kwa zumbukuku!Mapenzi ni upofu ndio sikatai but kuna mazingira other organs of sense zinakua more active,kuona usione hata kusikia pia usisikie?acha kupenda kizembe wewe!:yell: