Recent content by Theotim

  1. T

    Tunaomba Mkuu wa Wilaya ya Rombo na Mkurugenzi wa Wilaya ya Rombo Muokoe Jahazi

    Ben leo nimetoka Rombo kuna taarifa nimesikia kuhusu swala la Kiliwater imevunja Hakuna kitu kina niumizaga kama Kiliwater yaani maji hayatoki nakuta bill ya 30,000 naomaba kuijua KILIWATER Vizuri maana hili ni aibu kubwa mno maji tunayo tunachimba wote waje kutuuzia miaka yote
  2. T

    Kwa upande wa Dar, CCM tayari wamenyoosha mikono, twende Arusha sasa!

    Mnamsubua rais kwenda kupanga baraza la mawaziri
  3. T

    Magufuri ana Bahati ya Mtende aharibu Mwenyewe!

    Unalingine kama huma chukua buku saba yako leo leo
  4. T

    Kimbisa Amkaribisha Rais Kikwete Dodoma KUONGOZA VIKAO Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM

    Jamani wapo nec kwa kazi maalumu kwa maaana siri sa hiv ziko njee njee subirini muone chezea lowasaaaa sema lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  5. T

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    We c polepole tena ni chuichui huna maaanaaaa kabisa na hatukusikiliza tenaaaa
  6. T

    Ni kweli CHADEMA watachukua nchi mwaka 2015

    Hakuna mpango wa kushindwa ukawa
  7. T

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Magufuli aanzishe tuition ya hesabu pale mapambano sio irahisi na kingine ni kwamba hatutaki rais kama waita wa wakina JK na Kapa,na ruksa tumesena hatufanyi makosa ngoja muone nawaambia kweli hakuna kulalamika tena
  8. T

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Lowassa atosha
  9. T

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Arumeru mashariki John Pallangyo ambapo tunashinda kabla ya kwenda kanisani
  10. T

    Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

    Ukiona bendera ujue kuna mtu kutoka kigoma eneo hilo
  11. T

    Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

    Tulie nchimbi yuko kamati kuu kuleta habari za vikao
  12. T

    Mkutano wa ACT - Wazalendo viwanja vya Furahisha Mwanza

    Hi ni CRASH PROGRAM kama ile ya waalimu wa upe au kidumu cha lowasa maji yakimwagika kwenye ndoo ccm A anakunywa ya kwenye kidumu ACT-Wasaliti
  13. T

    Facts 13 kuhusu Lowassa na Uchaguzi 2015

    Umesahau ya 14 Kuwa ndiye fisadi pekee aliye iba na kusifiwa na watu ni sifa kubwa sana hii
  14. T

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    kinyango tulicho kichonga sisi hakiwezi kututisha hata ssiku moja
Back
Top Bottom