Kuna vijana nawajua wanna pataga kazi za kuswaga punda kuwatoa singida, mantra kuwa nafuu kuja kuwauza wilaya za geita wanatembea njiani usiku na mchana wiki 2 ,,,, mmoja aliponea kukiwa na fisi usiku, ILA siku hzi kwa sehemu kafanikiwa anamaisha safiii tuuu, kashaacha kuswaga punda, mvumikivu...