Muda haujafika. Bado kale ka ulimbukeni ka umuchknow hakajatutoka.
....tujipe kamuda kidoogo . Nahisi hili tunaweza limaliza hata sisi wenyewe.
Mungu atupitishe njia sahihi
As long as utakuwa unachangia uchumi wa nchi kwa kulipa kodi ni bora kuliko kubaki mzigo kwa taifa.
Pia kutakuwa na njia nyingine ya kuichangia bodi.
Kumbuka ni lazima kuwa na TIN hivyo watakupata tu
Huu uwanja kiuhalisia ulitakiwa kutaifishwa haukutakiwa kubaki kwa chama tawala kama ilivyo sasa ili serikali iwajibike nao.
Sababu za kusema hivyo ni kwasababu kila mtanzania alichangia kwenye ujenzi .
Nakumbuka tulikatwa mishahara kuujenga pia kulikuwa na asilima ya pato la TBL (wazalishaji...
Nikiwa kwenye safari yangu ya kurudi katika mihangaiko ya kuusaka ugali, nilipitia tukio ambalo lilinifanya nifikirie sana. Kwenye tiketi yangu, nilipangiwa kiti safu ya 14, lakini nilipokuwa natafuta kiti changu, nikagundua kitu cha ajabu — hakuna safu ya 13! Hapo ndipo nikaamua kuuliza...
Wasilana na maliasili kwaajili ya vibali . Zaidi ya hapo kuna jamaa wa south africa na kenya wana breed hao tausi na wengineo . Watakushauri kuhusu chakula chao nk
Si ndo maana mnapewa gredi za juu kuliko vyuo vingine vya taaluma yenu .. ilhali walimu wanatoka kwenye hivyo vyuo vingine...
Natamani takwimu za ufaulu wa mtihani wa mct ziwekwe hapa kwa vyuo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.